let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Uliomba verse nimekupa,wewe badala ukanushe maandiko yangu kwa maandiko unakanusha kwa maneno matupu.Yesu ndiye huyo NIKO AMBAYE NIKO,
Na maana yake ni BWANA Mungu!!
Na Yesu Si Malaika, maana Malaika hamwamrishi Malaika, Bali hupokea order Toka Kwa Mungu,
Yesu ni Mungu, kumfananisha na Malaika ni makufuru!!
Umeelewa?
Huyo anayetetea USHOGA madhabahuni?BABA MTAKATIFU PAPA
Pole ndugu wa Adventist.Uliomba verse nimekupa,wewe badala ukanushe maandiko yangu kwa maandiko unakanusha kwa maneno matupu.
Hiyo exodus na isaya niliyokupa inamuongelea nani?.
Ni malaika gani aliye na sura Mungu?.
Ni malaika gani anaweza samehe dhambi?.
kwa hiyo wewe mlokole wa mwigumbi unamjua mungu kuliko Isaya ama Musa?.
Yesu ni Mwana wa Mungu, Yesu kuitwa Mungu haifanyi asiwe mwana.
Unamsemaha Yesu uongo kwa kudhani unamtetea.
Luke 5:24Kwanini umuite 'Neno' malaika wakati mwenye kusamehe dhambi ni Mungu pekee?....malaika hawafanyi hayo...
Sasa hapo wapi son of man amekuwa Malaika?Luke 5:24
“To prove to you all that I, the Son of Man, have the lawful authority on earth to forgive sins, I say to you now, stand up! Carry your stretcher and go on home, for you are healed.
Nitajie jina la malaika anaeweza samehe dhambi.Pole ndugu wa Adventist.
Malaika ni mtumishi wa Mungu, hawezi kukaa kwenye KITI Cha enzi Cha Mungu Mbinguni kama mtawala.
Verses ulizoweka ni Malaika anatumwa na Mungu katika mission Fulani, wewe unampa uungu Malaika, Malaika hastahili kuabudiwa, Bali Mungu pekee.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.
Hii hoja ni logical fallacy, logical non sequitur.Kuko Kwenye kujadili kuhusu uwepo wa Mungu umeenda mbali,
Anza kwenye familia Yako, wachukue wazazi wako, waweke kitako wakuthibitishie ikiwa ni wazazi wako Kweli au la!!
Umenikumbusha mbali sana 🤣🤣Uliomba verse nimekupa,wewe badala ukanushe maandiko yangu kwa maandiko unakanusha kwa maneno matupu.
Hiyo exodus na isaya niliyokupa inamuongelea nani?.
Ni malaika gani aliye na sura Mungu?.
Ni malaika gani anaweza samehe dhambi?.
kwa hiyo wewe mlokole wa mwigumbi unamjua mungu kuliko Isaya ama Musa?.
Yesu ni Mwana wa Mungu, Yesu kuitwa Mungu haifanyi asiwe mwana.
Unamsemaha Yesu uongo kwa kudhani unamtetea.
Nilisema kwamba, neno(yesu) kuna wakati Agano la kale ameelezwa kama mailaka na mwana pia.Sasa hapo wapi son of man amekuwa Malaika?
Ameitwa mwana wa Adam sababu ya kuvaa mwili na kuonekana kama sisi.
Lakini Yesu Hana baba Wala mama wa mwili. Yeye ni Mungu.
Unakoelekea watakutukana 🤣🤣🤣Nitajie jina la malaika anaeweza samehe dhambi.
Nitajie jina la malaika mwenye sura Mungu.
Isaya anasema: 9 In all their affliction he was afflicted, and the angel of his presence saved them: in his love and in his pity he redeemed them; and he bare them, and carried them all the days of old.
alikusudia malaika gani?.
Mungu yupo na ana KITI Cha enzi Mbinguni na Leo tunajadili ni nani huyo aketiye mwenye mfano wa mwanadamu.Hii hoja ni logical fallacy, logical non sequitur.
Mimi kuwa na wazazi si uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Huo ni uongo.Nilisema kwamba, neno(yesu) kuna wakati Agano la kale ameelezwa kama mailaka na mwana pia.
So,kila ninampotaja mailaka mwenye sura Mungu ninamzungumzua kristo(Neno).
Ninachokeleza ndicho isaya anakieleza,ndicho musa anakieleza.
Huyo huyo malaika mwenye sura mungu ndiye alikuja duniani na akasema anauwezo wa kusamehe dhambi kama Mungu alivyoelezea uko kwenye Exodus.
Yeah..ndiyo hapo.Umenikumbusha mbali sana 🤣🤣
Mwaka 2006 nilikuwa Nafanya kazi Mwanza Nilikuwa Nikitoka mwanza kuja Likizo Tunapita Sehemu Moja Inaitwa Mwigumbi ni barabarani...
Kitambo sana
Napafahamu hapo aiseeYeah..ndiyo hapo.
Mwaka 2015 nimelala hapo siku zaidi ya 3 chuma imeharibika.
Nikikupa verse Paulo anamuita yesu binadamu nae pia utamuita Muongo kama ulivyowaita mussa na isaya kuwa ni waongo.Huo ni uongo.
Na huna uthibitisho wowote kimaandiko kuwa Neno ni Malaika!!
Malaika ni Malaika, Mungu ni Mungu.
Unipebandiko nisilokuomba?Nikikupa verse Paulo anamuita yesu binadamu nae pia utamuita Muongo kama ulivyowaita mussa na isaya kuwa ni waongo.
Rabbon,Mungu ni Baba yangu.
Hapana, hujathibitisha kwamba Mungu yupo.Mungu yupo na ana KITI Cha enzi Mbinguni na Leo tunajadili ni nani huyo aketiye mwenye mfano wa mwanadamu.
Labda wewe ndiye uthibitishe kuwa hayupo ndugu MPUMBAVU kiranga sawasawa na Zaburi isemayo, " MPUMBAVU amewaza moyoni mwake kuwa hakuna Mungu🤔
Baba maana yake ni mwanzilishi na creator wa universe na vyote vilivyomo.Rabbon,
Unamaanisha nini unaposema mungu ni baba?
Maandiko nimekupa na authors wa hayo maandiko umewaita waongo.Unipebandiko nisilokuomba?
Yesu hajawahi kuwa Malaika na hatakuwa.
Yesu ni Mungu, ndiye NENO. Na Mungu ni MMOJA tu.