Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Nawe unakwama hapo kwenye dini!!

Mtu wa Dini ni nani Hasa?

Hapa dini haijadiliwi Bali Imani!!
Ukishaongelea biblia hauwezi kuitenganisha na dini labda imani gani vile tofauti na iliyopo kwenye biblia?

Nisawa na sahani na wali hauwezi kula wali bila kuuweka kwenye chombo au mkono .
 
Jione ulivyo fundi wa kukariri, wewe sio msomi ni bingwa wa kukariri, akili yako imeishia copy & paste tu, huwezi kumfundisha mtu kitu kwa kumuelekeza isipokuwa kuhamishia kwake ulichokariri wewe.
 
Ni kwwli kabisa uko sawa na haujakosea..

Ila Nilichojibu kuhusu Mtoa mada kuwa kitabu cha Ufunuo ni moja ya Kitabu tata ambacho bado tangu miaka na miaka kinajadiliwa kuhsuu Habari zake ambazo ni apocaliptic version..

Na kingine kitu gani ambacho uliwahi kuniuliza nikakimbia??
Na sio kwamba mimi nina majibu yote na ukiona najibu kitu Bhasi ninakijua au Nina experience nacho sijibi kila kitu..

Na kuhusu Maandiko Mimi Nimesoma theologia na kila mara huwa nakwambia Ndugu yangu na kuhusu Kuinterprete maandiko inategemea na mtu mwenyewe na Theological interpretation ya Dhehebu alilosoma Theologia yake
 
Jione ulivyo fundi wa kukariri, wewe sio msomi ni bingwa wa kukariri, akili yako imeishia copy & paste tu, huwezi kumfundisha mtu kitu kwa kumuelekeza isipokuwa kuhamishia kwake ulichokariri wewe.
Hapo sijacopy na Kupate nimefanya Refference preview Hahaha πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…
Tutofautishe kati ya Refference na Kukariri πŸ˜…πŸ˜…..

Bhasi natak na mimi unifundishe kitu nje ya Biblia au Nje ya vitabu
 
Mungu anatetewa kwa njia nyingi mkuu , mpka na matusi , yule yesu angerudi tena akaongea yale yale kipindi hiki angenyongwa kabisa .
 
Kwanza issue ya kusema kitabu cha ufunuo kina tatizo hilo ni lako na wenzako huko chuoni, nyie kuona tatizo kwenye kitabu cha ufunuo haina maana kila mtu anaona tatizo mliloona nyie, inawezekana wote shida yenu ni upeo mmeshindwa kuchambua kile kitabu kwasababu mnaishia kukariri maandiko, hamna roho ndani yenu wa kuwapa utambuzi.
 
Kumbe umesomea theolojia,

Walimu wako ni wanadamu,

Usilolijua, wapo watu humu ambao wamefundishwa na Mungu mwenyewe kupitia Malaika wake katika chuo Cha Mbinguni.

Ndio maana mara nyingi tunashindwa kuelewana sababu Huwa unajaribu kufafanua maandiko Kwa kutumia akili za kibinadamu bila msaada wa Mungu.

Ikiwa humuamini Roho MTAKATIFU na uwepo wake, kamwe huwezi kuijua BIBLIA.

Anyway Mungu akujaalie neema uone na ufahamu kama tuonavyo.

Barikiwa πŸ™
 
Hapo sijacopy na Kupate nimefanya Refference preview Hahaha πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…
Tutofautishe kati ya Refference na Kukariri πŸ˜…πŸ˜…..

Bhasi natak na mimi unifundishe kitu nje ya Biblia au Nje ya vitabu
Kwani reference ukishaiweka kichwani unafanyaje kama sio kuihamishia sehemu nyingine kama ilivyo?

Nakwambia ukweli, biblia ni zaidi ya hapo unapodhani wewe, yale maandiko ni mapana unasoma andiko huelewi, sometimes unasoma leo jibu linakuja automatically next time ukiwa huna hili wala lile, hata ukiwa unavuka barabara, biblia haiishii kuisoma chuoni ukichukua course ya Theology.
 
Ndani ya hizo imani zenu wote mpo kwenye box ila kuna mabox mengine madogo dogo kila mtu anaamini chake nakumwona mwingne hayupo sawa ,jinsi unavyojiona wewe na mwingne wa imani tofauti na yako pia anajiona hivyo hivyo.😁😁😁😁
 
Neno la Mungu limepimwa na kuthibitika kuwa perfect.
 
Mungu aliyekufundisha alikufundisha kupitia Spiritual Realm..?

Umejuaje kama Mungu huyo huyo sio aliyenifundisha mimi?
Hiyo Ilikuwa Debate since Early churches Mkuu..
Katafute kitabu cha Church father "Eusebian"..
Churches History kimeandika Kuhusu the debate about the canonicity of Revelation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…