Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

Unaelewa nini kuhusu kushirikiana ?
 
Kwanini nikasome badala wewe ulete hapa hicho unachokijua mjadala uendelee?

Acha usanii, naona unapewa majibu yote lakini bado unaruka ruka tu.
 
So kuna Mzee wa Siku pia Yupo??
Sasa Kama Yule Aliye Mfano wa Mwanadamu Atakalia Kiti Mzee wa Siku yeye atakuwa wapi??
Unaona mawazo ya WANADAMU haya🤔

Hii ni reasoning ya kitoto, anyway nitakujibu.

Kabla huyo Mzee wa siku kuamua kufanya Ujasusi wa kuvaa mwili na kuonekana kama mwanadamu Kwa KAZI ya Ukombozi wa mwanadamu alikuwepo milele. Na alijulikana na Malaika kama Mzee wa siku!!

Kwa WANADAMU waliookolewa Kwa KAZI ya msalaba watamwona akiwa na mikono iliyotobolewa misumari, na mwonekano wa kijana.

Lakini ndiye huyo huyo, Malaika na utawala wa Mbinguni uTAENDELEA kumwona vile walivyokuwa wakimwona tangu zamani kama Mzee wa siku maana KAZI ya Ukombozi ilikuwa ni special Kwa WANADAMU, Si Kwa Malaika na Serikali iliyo Mbinguni.

Karibu 🙏
 
Kwanza kabisa, unaelewa kuwa hizo ni hadithi za kutungwa na watu tu, si habari za kuelezea mambo yaliyo kiuhalisia?
 
Kwanini nikasome badala wewe ulete hapa hicho unachokijua mjadala uendelee?

Acha usanii, naona unapewa majibu yote lakini bado unaruka ruka tu.
Kitabu ni Kikubwa sana kimecontain all the churches History kutoka Enzi za Mitume mpaka Miaka ya 325 na 400s AD so siwezi kuelezea Just for A small paragraph kungekuwa na Sehemu ya Kuongea kwa sauti i think ningeongea kwa Audio
 
Kwanza kabisa, unaelewa kuwa hizo ni hadithi za kutungwa na watu tu, si habari za kuelezea mambo yaliyo kiuhalisia?
Hiyo ni mada ingine, ianzishie thread ulete na ushahidi!!
 
Tudi tena Kasome Daniel
 
Kitabu ni Kikubwa sana kimecontain all the churches History kutoka Enzi za Mitume mpaka Miaka ya 325 na 400s AD so siwezi kuelezea Just for A small paragraph kungekuwa na Sehemu ya Kuongea kwa sauti i think ningeongea kwa Audio
Mbona wewe fundi wa kukariri inakuwaje ushindwe kuweka hapa hiyo mistari? Au yenyewe ndio iligoma kuingia kwa kichwa chako!.
 
Kwanza kabisa, unaelewa kuwa hizo ni hadithi za kutungwa na watu tu, si habari za kuelezea mambo yaliyo kiuhalisia?
Leo Watakutukana sana Naona leo kwenye Huu uzi wamejipanga kutokana yeyeto anayepinga so Kuwa makini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…