Aliye tayari tuwekeane dau katika vita ya UKRAINE na URUSI

Watu wanapoteza maisha wakati wengine wanabetia na kuwekeana madau juu ya utabiri wao
 
Nimegundua nchi zote zenye kelele kitisho chao kikubwa ni nyuklia ajabu hao wanaotishwa nao wana nyuklia yaani ni mkwara kama wa teja hivi kisa ana bisibisi na kisu mfukoni mwake.
 
Yoyote kutoka popote anayetaka aje kutusaidia hapo kuna majasusi wa nato kama wote lakini siyo kwa mwavuli wa nato
Na sidhani kama siku kumi zitaisha bila nuclear kama mambo yatazidi kuwa magumu kwa Putin
 
NATO wameshaingia ukren na vikosi vyao tayari
 
Kuna nchi duniani inaizidi vikwazo Cuba???
 
Nchi gani za kiarabu???
Marekani na waarabu ni Pete na kidole
Juzi biden kampigia sim mwanamfalme saudia hajapojea sim yake eti we unasema ni pete na kidole, saiv anahaha kupatana na mataifa alikuwa ameyawekea vikwazo km venezuela na iran, lala usingizi wa pono dadaeee
 
Aljazeera,bbc,voa etc ni tofauti kubwa na tbc kama unataka kuijumlisha tbc na hayo madude jaribu
 
Urusi aongozr kipindi cha kwanza ukraine ashinde au asuluhu tia mzigo milion uhakika
 
Your 100 percent right .Na Putin atapelekwa mahakamani ( war crimes ).Target yake alikuwa Zellensky Kwa hiyo mrusi hana kifaa cha ku target nyumba ya Zellensky matokeo yake Putin ameharibu ukraine .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…