Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msudani unataka kutoroka Muhimbili kwenda South!? Tulia Kwanza ule Mambo ya ki Bongo! Ndiyo kwanza mmeingia hamna hata mwezi!!Naomba mawasiliano yao mkuu
Si wanasikilizia abiria wawe wengi kidogo!!Hao nao miyeyusho walisema 30 may linaenda Johannesburg lakin mpaka leo 1 June haijulikan wataenda lini.
Nakumbuka huo utapeli watu waliingizwa mkenge kiboyaHili Basi lilishafika Dar au Ni utapeli Kama walioiganya wahaya kipindi kile, kwa kuwaahidi watu kua Kuna Basi jipya la rutiya bkb, wakakatisha tiketi kwa watu na kuingia mitini.
Watu rahisi kutapeliwa katika nchi hii NiNakumbuka huo utapeli watu waliingizwa mkenge kiboya
Mbona kawaida sana, tatizo lipo msumbiji saivi apaelewekiMkuu gari kubwa namna hiyo,Watu tumewahi enda na GX 90 wakati huo miaka ya 1998 ,Hii wakati huo ilikuwa baloon tena ni 4 cylinders na cc ilikuwa 1680
.
Tulitoka Arusha to Durban south Africa ,Tulienda na kurudi nayo na mpaka leo hiyo baloon inadunda
basi lolote linaenda hata hizo yutong au zhantong,Kikubwa ni service tu basi
Hiyo barabarani unapishana na wazungu wana pikipiki machine za kufa mtu na wana overtake kama upepo
Enzi hizo unakutana na mzungu ana mtambo wa pikipiki anakuambia ametokea Cairo anaelekea south,Ukiangalia pikipiki yenyewe jinsi ilivyoshona kwa miili ya watanzania unaweza ukashindwa kuweka mguu mchini wakati wa kushuka
DohMsudani unataka kutoroka Muhimbili kwenda South!? Tulia Kwanza ule Mambo ya ki Bongo! Ndiyo kwanza mmeingia hamna hata mwezi!!
[emoji3][emoji2][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Laki tatu na 20 kwenda hadi J burgNauli Bei gan. Watu tujikatae
Basi gani hili mkuuLaki tatu na 20 kwenda hadi J burg
Hili Basi lilishafika Dar au Ni utapeli Kama walioiganya wahaya kipindi kile, kwa kuwaahidi watu kua Kuna Basi jipya la rutiya bkb, wakakatisha tiketi kwa watu na kuingia mitini.
Nakumbuka huo utapeli watu waliingizwa mkenge kiboya
Basi gani hili mkuu
Asante kwa taarifa.![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Niko hapa kuthibitisha bus lipo, linafanya safari fresh tu, juzi limeondoka Magufuli bus terminal leo wanaingia Johannesburg, nauli ni 350,000/=Next month tutaanza kupata mrejesho kwa watakaoipanda kwenda kwa madiba.
Vipi kwa anayetaka kwenda kusoma Masters University kubwa kubwa mfano Pretoria, WitwaterslandKama huna jambo la maana la Kukupeleka South Africa kaa kitako kwa kutulia tafuta chaka lingine, wale jamaa huwa hawatanii na wala huwa hawatishii kuweka mkwara, wakisema kitu wanafanya kweli.
Hamna shida kabisa na utaenjoy, kwanza hautakuwepo kwenye secular ya Watanzania kuonana kila siku kupiga soga kama mpo kariakoo.Vipi kwa anayetaka kwenda kusoma Masters University kubwa kubwa mfano Pretoria, Witwatersland
Week Hiyo Unaingia Mjini Johannesburgsafari ni siku tano kumbe