Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Kuna route zaidi ya Moja MkuuKwann asipite route ya lusaka zambia, then harare zimbabwe then joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp zambia alaf uende mozambique then zimbabwe?? Then botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti
Ila ya Kupitia Mozambique ndio the best, na Barabara ni Nzuri