Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Mkuu me namuelewa mwenye kampuni kwa hiyo route kama ni kweli kulingana na taarifa yao.

Kwa uzoefu wangu ni kuwa unaweza kuwa na njia ndefu ila usipite huko, sababu unakuwa na mabasi tofauti so kuna kituo lazima mnakutana na kuchukua abilia wako then safari inasonga.

Hapa Bongo ipo hii ni vitu vya kawaida unaenda Mwanza but unapanda la Bukoba same bus company ukifika singida unashuka na kupakia linalotoka arusha kwenda Mwanza, maisha yanasonga.
Ukitoka dar kufika singida n saa ngapi mkuu
 
img_20230502_165128-jpg.2607385

Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.

Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.

Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.


View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.

Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.


View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.

Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.

Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
mbona unyama enzi zetu tulitembea kwa miguu mpaka kwa madiba! Ngoni migration
 
Nachoona hapa mleta mada ametaja inchi bus itayopita bila mpangilio
Tunangoja Taarifa Iliyonyooka Kama Rula Kuhusu Barabara Inaanzia
Humo Njiani Inapita Wapi Na Wapi!! Nangoja Tu Kuliona Likianza Kazi



Canon Salute Itafanyika Wapi Kila Nchi Ama Dar Es Salaam Tu
 
huu ni uzushi wa kipuuzi, mleta uzi hata hajui ramani ya Africa. Watu wengine ni km wanaota. unatokaje Botswana halafu uende Msumbiji? Huyu shule alienda kuchungulia siyo kusoma
Mketa mada ni copy and paste, hii habari ilishatoka kitambo huko south
 
huu ni uzushi wa kipuuzi, mleta uzi hata hajui ramani ya Africa. Watu wengine ni km wanaota. unatokaje Botswana halafu uende Msumbiji? Huyu shule alienda kuchungulia siyo kusoma
Wewe akili huna kabisa, hiyo gari inapita hizo nchi ili kupata abiria, kumbuka hiyo ni bus ya abiria sio tax

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nadhani kuna typing error ya route ya bus,maana huwezi toka jhb to Gabs/palapye then urudi Zimbabwe, then Mozambique!!,kuna tatizo hapa,
Halafu uende Malawi uje utokezee Zambia then Tunduma tena! Kazi kweli!
 
Back
Top Bottom