The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Zambia , Zimbabwe.. South AfricaMkuu route fupi ya kufika south kutokea bongo kwa bus unapita nchi ngapi na zipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zambia , Zimbabwe.. South AfricaMkuu route fupi ya kufika south kutokea bongo kwa bus unapita nchi ngapi na zipi
Wacha wee nishindwe mie tu kufika south😀Twende sauz mrembo nakulipia nauli
Haaaaa nyie Vijana...!Ukikaa na mdada mpaka mfike mshaoana
Kabisa aiseee 😂😂😂😂Sasa mtu akae kimya njia nzima kisa ameacha mtu mzima nyuma 😄 hio mara chache sana
Kumbe nchi hii kuna Mahali bado cjatembea kabisa🥱🥱 nchi kubwa Sana hiiKumbe sio mbali Musoma to Mtwara kuna 1900KM
Ukitoka dar kufika singida n saa ngapi mkuuMkuu me namuelewa mwenye kampuni kwa hiyo route kama ni kweli kulingana na taarifa yao.
Kwa uzoefu wangu ni kuwa unaweza kuwa na njia ndefu ila usipite huko, sababu unakuwa na mabasi tofauti so kuna kituo lazima mnakutana na kuchukua abilia wako then safari inasonga.
Hapa Bongo ipo hii ni vitu vya kawaida unaenda Mwanza but unapanda la Bukoba same bus company ukifika singida unashuka na kupakia linalotoka arusha kwenda Mwanza, maisha yanasonga.
June hiyo tunatia mguu....na hivi watz tunaingia visa free basi full shangwe.Wacha wee nishindwe mie tu kufika south😀
Haha halafu wa kwenye magari wote wanakuwaga singleUkute hana gubuuuu
Siyo huko uliko,Kazi kibao,Biashara kama zote,ushindwe wewe tu.Nyumbani kumenoga mzee acha pinchi kiwanja rudi nyumbani
mbona unyama enzi zetu tulitembea kwa miguu mpaka kwa madiba! Ngoni migration![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Hio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal lux
DuuHio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal luxury
Tunangoja Taarifa Iliyonyooka Kama Rula Kuhusu Barabara InaanziaNachoona hapa mleta mada ametaja inchi bus itayopita bila mpangilio
Mketa mada ni copy and paste, hii habari ilishatoka kitambo huko southhuu ni uzushi wa kipuuzi, mleta uzi hata hajui ramani ya Africa. Watu wengine ni km wanaota. unatokaje Botswana halafu uende Msumbiji? Huyu shule alienda kuchungulia siyo kusoma
Chief kutembea nikuona mengi jaribu kutembea utaona mengi nakujifunza mengi hata fursa yakibishara nyingi utazi explore through travelingHaya! Hodophiles kazi kwenu!💪
Wewe akili huna kabisa, hiyo gari inapita hizo nchi ili kupata abiria, kumbuka hiyo ni bus ya abiria sio taxhuu ni uzushi wa kipuuzi, mleta uzi hata hajui ramani ya Africa. Watu wengine ni km wanaota. unatokaje Botswana halafu uende Msumbiji? Huyu shule alienda kuchungulia siyo kusoma
Mkuu una uhakika haupo bonde la usangu?.Karibuni Bondeni Waungwana
Halafu uende Malawi uje utokezee Zambia then Tunduma tena! Kazi kweli!Nadhani kuna typing error ya route ya bus,maana huwezi toka jhb to Gabs/palapye then urudi Zimbabwe, then Mozambique!!,kuna tatizo hapa,