Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Kwann asipite route ya lusaka zambia, then harare zimbabwe then joburg chapu tu. Hiyo route sijaielewa utapita vp zambia alaf uende mozambique then zimbabwe?? Then botswana?? Nadhan mleta uzi umefeli hakuna hiyo route. Maana Mozambique to joburg ni karibu sana na harare to jorbug ni karibu pia botswana ni karibu pia na SA . So ninadhani hilo kampuni litakuwa na route tatu tofauti
Kuna route zaidi ya Moja Mkuu
Ila ya Kupitia Mozambique ndio the best, na Barabara ni Nzuri
 
Ila Kuna usumbufu Sana wa Askari wa Mozambique, they are not Professional Kabisa wale wasengereeema
 
Ikianza safari 03:00 kutoka Dar, atalala Mpika Zambia by 22:00

Mpika atatoka 04:00 kuelekea Lusaka hadi Kafue weighbridge, ataacha njia ya Chirundu anakunja kulia kuitafuta Mazabuka hadi Livingston

Saa 22:00 atakuwa kishawasili Kazungura border, ukishaingia Botswana ni 24 hrs ruksa kuendesha

Atapita Pelapye hadi Martin Drifts kisha ataingia Limpopo river, Groblers Bridge border ya S.A

Kutoka hapo kuelekea Johannesburg ni 7-8 hrs safari inatamatika

Siku tatu unaingia kaburu
Mwanangu inaonekana machaka unayamanya sana!
 
Inabeba abiria au inakuwa na mambo yake then abiria ni xtra!
Abilia inabeba na ina trailer nyuma ila bado naulizia aina ya ukaaji wa hao abilia ni upi, maana tumeona hii Mkombe Luxury ina nafasi ya kutosha hata kulala chini!.
IMG_20230502_162749.jpg
 
Back
Top Bottom