Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Hili Basi lilishafika Dar au Ni utapeli Kama walioiganya wahaya kipindi kile, kwa kuwaahidi watu kua Kuna Basi jipya la rutiya bkb, wakakatisha tiketi kwa watu na kuingia mitini.
 
Hili Basi lilishafika Dar au Ni utapeli Kama walioiganya wahaya kipindi kile, kwa kuwaahidi watu kua Kuna Basi jipya la rutiya bkb, wakakatisha tiketi kwa watu na kuingia mitini.
Nakumbuka huo utapeli watu waliingizwa mkenge kiboya
 
Mbona kawaida sana, tatizo lipo msumbiji saivi apaeleweki
 
Asante kwa taarifa.
 
Next month tutaanza kupata mrejesho kwa watakaoipanda kwenda kwa madiba.
Niko hapa kuthibitisha bus lipo, linafanya safari fresh tu, juzi limeondoka Magufuli bus terminal leo wanaingia Johannesburg, nauli ni 350,000/=

Ofisi zao upande wa Tanzania zipo Shekilango Sinza, wana ofisi Lusaka na Johannesburg.

Tunakumbushana tu wale jamaa Primitive wanataka kuendesha oparesheni Dudula jijini Johannesburg na kitongoji kinacholengwa ni Hillbrow.

Inasemekana Dawa za kulevya zinamaliza nguvu kazi yao sasa wanataka kuendesha oparesheni kwenye mizizi ya wauza Dawa za kulevya hasa kutoka Tanzania na West Africa.

Kabla ya kuanza oparesheni Dudula wameshaanza kuchoma moto mijengo wanayoishi wageni kama chaka.

Ukitumia jicho la tatu kufuatilia hali halisi hii oparesheni ina baraka zote za serikali yao.

Kama huna jambo la maana la Kukupeleka South Africa kaa kitako kwa kutulia tafuta chaka lingine, wale jamaa huwa hawatanii na wala huwa hawatishii kuweka mkwara, wakisema kitu wanafanya kweli.
 
Everything is ayoba! 👍
Sit back, relax, and enjoy the journey as we provide you with top-notch amenities, spacious seating, and a smooth ride that's second to none. 🚌😎
📞For more information, give us a call on our 24-Hour Contact Center at +27604-749-717 /+255679-956-215/ +27688768194.
Office location: Pretchard & End street Johannesburg
 
Kama huna jambo la maana la Kukupeleka South Africa kaa kitako kwa kutulia tafuta chaka lingine, wale jamaa huwa hawatanii na wala huwa hawatishii kuweka mkwara, wakisema kitu wanafanya kweli.
Vipi kwa anayetaka kwenda kusoma Masters University kubwa kubwa mfano Pretoria, Witwatersland
 
Vipi kwa anayetaka kwenda kusoma Masters University kubwa kubwa mfano Pretoria, Witwatersland
Hamna shida kabisa na utaenjoy, kwanza hautakuwepo kwenye secular ya Watanzania kuonana kila siku kupiga soga kama mpo kariakoo.

Uliwahi kusikia mtu aliyekwenda Chuo South Africa, au mchezaji mpira, au mfanyakazi official kabisa ameuwawa South Africa?

Life style ndio inayowaingiza Watanzania wengi matatizoni, hata hizo oparesheni Dudula kuna mtu yupo South Africa anazisoma tu na kuziona kwenye TV yuko safe kabisa.

Wabongo wanapenda maskani mpaka nchi za watu wawe na vijiwe vya kupiga soga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…