Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Mkuu ukiishia Gaborone ni sh ngap?
 
Chuma Muda Huu Naiona Morogoro Inaenda Johannesburg
Baada ya hapa nyumbani kuruhusu magari kusafiri 24hrs nimependa walivyopanga ratiba yao.

Wanaondoka Dar mchana ili wakapite Zambia asubuhi hadi jioni wanaachana na Zambia, sababu hapo Zambia mabasi mwisho ni saa 2100hrs
 
Nimeiona Ilipita Morogoro
Mapema Pia Tayari Inaonekana Mkombe Luxury Ruti Hii WanaendeleA Kuifanya Vema
 
Nimeiona Ilipita Morogoro
Mapema Pia Tayari Inaonekana Mkombe Luxury Ruti Hii WanaendeleA Kuifanya Vema
Ana marolinya mizigo kutoka SA kuja Tanzania so inaonekana aliona fulsa kutokana na maroli yake ya mizigo.

Nahisi atakuja hata hapa ndani (bongoland) kufanya hii biashara ya abilia. (Note this)
 
Kulikuwa na ulazima wa kupita nchi zote hizo??
Kibiashara kuna ulazima, kuna watu watashukia njiani na wengine kupanda.
Pili huwa wanatazama route salama zaidi.
Kwenda SA kuna njia sio salama, kwa mfano kupitia msumbiji
 
Chief sisi wengine huwa hatuokotezi story, naifuatilia sehemu zaidi ya moja.

Hebu kwa tahadhima pale chini ya uzi kuna link fungua uisome kupunguza mihemko.
Mkuu hali ni ngumu kwa wengi, watu wana hasira sana kutokana na hali tete, wewe sameheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu hali ni ngumu kwa wengi, watu wana hasira sana kutokana na hali tete, wewe sameheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Baadhi ya wadau humu ni 0 kwenye kutafuta habari ndiyo sababu.

Mfano huyu jamaa mwenye hili basi ana maroli yanafanya route ya SA to TZ muda sana na yanabeba mizigo.

So anajua apite njia gani ambayo kwake inafaida kuliko sisi wenye mawazo yasiyo na faida kwao!.
 
Kwa vile napenda kujua sehemu mbalimbali hii route Ina Unyama mwingi sana safiii....ghafla upo Maputo,ghafla upo Kaprimposhi,ghafla upo Blantyre,ghafla upo Mbanane yaàni ni rahaaaa😁😁😁
βœ…πŸ™
 
Hiyo Route inawezekana lkn ni unnecessary. Tunduma unaitafuta Lusaka then Chipata unaingia Malawi Lilongwe unaenda Dedza au Mwanza Kuingia Mozambique. Inawezekana kabisa lkn hii Route ni ngumu sana yaani sana
Kuuliza siyo ujinga! Mwanza ya wapi Mkuu?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Vipi kama umeenda kwa usafiri wa ndege?
 
Hiyo Route inawezekana lkn ni unnecessary. Tunduma unaitafuta Lusaka then Chipata unaingia Malawi Lilongwe unaenda Dedza au Mwanza Kuingia Mozambique. Inawezekana kabisa lkn hii Route ni ngumu sana yaani sana
Mwanza tenaa????

#YNWA
 
βœ…πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…