Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Malawi? Unaingilia wapi, Zambia au Msumbiji! Labda kama inaanzia Kyela kisha Zambia hata hivyo usukani unashindwa kukata kona, naona kama hii na Madiba Tour.
 
Hizi gari moja juzi kati imekulaa mzingaaa...!! Mmh hata robo faida badooo.. Wabongo mnalogaaa
 
Mleta maada kachanganya mambo,huwezi kupita malawi na zambia kwa wakati mmoja au Mozambique na zambia kwa wakati mmoja,labda basi liwe linabadilisha route,tem hii linapita Malawi via Mozambique au Zambia Via Zimbabwe
Inawezekana mdau alimaanisha linapiga duara
route
Dar ZambiaZimbabwe,Bots inaeleweka then anakanyaga kwa madiba anaibukia mozambique anakula mtwara anatokea Dar.
Swali Malawi je?
 
Kazi yote ya nini kuhamisha hamisha vitu,
Hayo mabasi yapo roho ya paka.
Kuna Setra huko mamtoni zinapiga hizo ruti km mchekea tu.
Madereva ndio wanabadilika.
Marcopolo moja kuna mshua anakatiza nayo toka Argentina kupita msitu wa Amazon mpaka Sao Paulo Brazil ni wiki nzima.
Njia ya tope.
Huo msoto wa njiani usiombe wenyewe washazoea.
 

Kuna huyu hapa amekuja na Mchina ata survive kweli!!!? Mimi naona kama haya magari ni delicate sana labda ingekuwa Scania au Benz


All Tanzania buses Β·
Follow​

28 February at 19:52 Β·

https://www.facebook.com/#
Sasa classic coach Wanakuja na route ya DAR-JOHANNESBURG yaani Tanzania kwenda south Africa
NAULI
DAR-JOHANNESBURG = 300, 000/= TSH au R 2000/=
Safari zinaanza
02/03/2025
Contacts
:+255682756699
:+27727103819
@sr.classic_coach
π˜Όπ™‡π™‡ π™π˜Όπ™‰π™•π˜Όπ™‰π™„π˜Ό π˜½π™π™Žπ™€π™Ž || 𝙆π™ͺπ™’π™—π™–π™©π™žπ™– π™¨π™–π™›π™–π™§π™ž
 
Kwa hiyo hadi sasa wameshaanza safari na bus lipo njiani kurudi au kwenda kwa madiba?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…