GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
β πChuma Muda Huu Naiona Morogoro Inaenda Johannesburg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
β πChuma Muda Huu Naiona Morogoro Inaenda Johannesburg
Kumbe sipo peke yangu! Na mimi nimeshangaa kuiona Mwanza hapo. Nafikiri kuna eneo linaloitwa hivyo kwa majirani zetu.Mwanza tenaa????
#YNWA
β πMkuu ukiishia Gaborone ni sh ngap?
ndugu golgdhahabu haya malike umekuja kutoa after kusikia ajali? Au coincidence tu?β π
Ndiyo Hivyondugu golgdhahabu haya malike umekuja kutoka after kusikia ajali? Au coincidence tu?
Kama route inapitia Msumbiji basi jamaa atakuwa anafanya biashara 2 kwa pamoja.Ajipange vizuri la sivyo anapoteana
Malawi? Unaingilia wapi, Zambia au Msumbiji! Labda kama inaanzia Kyela kisha Zambia hata hivyo usukani unashindwa kukata kona, naona kama hii na Madiba Tour.![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa Tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
βπΎInterior seats πΊ
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
βπΎTiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: ππΎ South African Bus Company now βlaunchesβ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Ni kazi yao kuumiza vichwa...Hebu wafungulie code wasiyo na akili tuone [emoji1]!.
hapiti msumbijiHebu wafungulie code wasiyo na akili tuone [emoji1]!.
hawapiti msumbijiMsumbiji upande gani wanapita??
Inawezekana mdau alimaanisha linapiga duaraMleta maada kachanganya mambo,huwezi kupita malawi na zambia kwa wakati mmoja au Mozambique na zambia kwa wakati mmoja,labda basi liwe linabadilisha route,tem hii linapita Malawi via Mozambique au Zambia Via Zimbabwe
Kazi yote ya nini kuhamisha hamisha vitu,Inawezekana kabisa
Sema jamaa watakua wanna mabasi KILA kituo yanapokezana yaani dar to Tunduma ,abiria wanashuka wanapandishwa nyingine bila hata wao kujua yaani wanashushwa hotelini halafu tingo wanahamisha mizigo kwenye bas la aina hiyo hiyo KWA siti zile zile!
Wakifika malawi au Botswana wanapanda kingine KABISA!!hivo hivo!!
![]()
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa Tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
View attachment 2607382
βπΎInterior seats πΊ
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
View attachment 2607386
βπΎTiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: ππΎ South African Bus Company now βlaunchesβ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times
Kwa hiyo hadi sasa wameshaanza safari na bus lipo njiani kurudi au kwenda kwa madiba?.Kuna huyu hapa amekuja na Mchina ata survive kweli!!!? Mimi naona kama haya magari ni delicate sana labda ingekuwa Scania au Benz
View attachment 3257573
All Tanzania buses Β·
Follow
28 February at 19:52 Β·
Facebook β Anmelden oder Registrieren
Sasa classic coach Wanakuja na route ya DAR-JOHANNESBURG yaani Tanzaniakwenda south Africa![]()
![]()
NAULI
DAR-JOHANNESBURG = 300, 000/= TSH au R 2000/=
Safari zinaanza
02/03/2025
Contacts
:+255682756699
:+27727103819
@sr.classic_coach
πΌππ ππΌπππΌπππΌ π½ππππ || ππͺπ’πππ©ππ π¨ππππ§π
Nahisi itakuwa hivyoKwa hiyo hadi sasa wameshaanza safari na bus lipo njiani kurudi au kwenda kwa madiba?.
OkWapo DRC hawa jamaa na wanaoiga kazi East Africa yote na huko wana route ya South.