Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Ukifariki uje na hapa kuandika...




...Ni Hayo Tu!!
 
Kumbe wewe ni wa chisorya,
 
kwani mmeshapita MIkese?
 
Kuifananisha 1VD ya LC200 na Ranger ni kama kuitusi. VX-R ina 260 kwenye dashboard mzee. Ford inakimbia ila mwisho wake ni 185KPH hata iende vipi na ndio maana ikikutwa na Hilux Revo au Bombardier lazma ikalishwe. Hilux inapiga 200kph kuifikia limiter.

 
Mkuu nimeshuhudia juzi ford ranger akimkanda V8 kama imesimama maana Ile ni ford ranger raptor ni hatari sana
Hio Raptor labda kama sio zile za Ki sauzi AfirikaπŸ˜„ zilizojaa bongo. Ford limiter yake ni 185KPH afurukuti zaidi ya hapo. Mwanzo atamkacha yoyote wanaeanza nae mbio ila gari zote zikiwa kwenye final gears anaachwa especially kama ubao wa gari ni zaidi ya 200kph
 
Uko serious unatuanbia Subaru iko vizuri halafu unasema hakuna gari ya kuikalisha Mazda CX5, hii ya 2.2 diesel au kuna ingine? Vijana tafuteni magari muendeshe kabla ya kuja na conclusion.
Hivi Mazda ina uspesheli gani ile gari, sijawahi kuisikia kwenye mentions za sporty cars ila bongo ishapewa taji!?πŸ˜„
 
Hivi, suala la Ford, au Subaru kukimbia na kuwapita wengine, ni suala la gari au dereva wa hiyo gari? Tuanzie hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…