bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Nani kavuruga amani kwenye sherehe ya kuchoma Qur'an!?..si alichoma kwa Raha zake akarudi nyumbani kulalaHilo swala la kusilimu ni sherehe kwenu.
Hivyo na nyie msivuruge amani kwenye sherehe za wenzenu wanapochoma hizo Quran ambazo walizinunua kwa pesa zao
Ukristo hauruhusiwi uarabuni ni bora ukutwe na bangi na Sio Bible uarabuniMkuu samahan dini ya kiislam si dini ya waarabu ni dini watu wote ulimwenguni, iwe sweden, US, philipine au popote, na hata huo ukiristo ulaya sio kwao, Yesu alitokea Middle East mbali sana na ulaya
Hawa jamaa Huwa ni wajinga sana wanapenda kushindana na wajingaNaona mnafundisha watoto ujinga
View attachment 2686588
Lakini Sio bendera ya mashoga au vitu vya kishoga jela itakuhusuKatiba ya Sweden inatoa ruhusa kuchoma kitu chochote kuanzia Biblia, Quran, Bendera nk isipokuwa tu moto huo usiwe mkubwa kutengeneza hatari nyingine.
Na sio Quran tu hata Toráh ya muisrael ilipigwa kiberiti hapo mwanzoni mwa mwaka huu.
Mnaandamana kupinga nini sasa?Nani kavuruga amani kwenye sherehe ya kuchoma Qur'an!?..si alichoma kwa Raha zake akarudi nyumbani kulala
Jamaa kajua kuwashika, mtoto mdogo akijua unakasirika kwa dhihaka atakudhihaki hadi ukome.Keshokutwa jamaa atachoma tena
It is fully legal to burn any flag in Sweden. Hata bendera ya nchi pia ni ruksa kuichoma.Lakini Sio bendera ya mashoga au vitu vya kishoga jela itakuhusu
Matukio kama hayo yanachangia Uislamu kufahamika na watu wengi zaidi kufuatilia hatimaye wengine kusilimu , miaka ya nyuma yametokea matukio mengi ya kuuchafua uislamu na kuchokoza lakini idadi ya watu kusilimu na Waislamu imeongezeka maradufu baada ya kupungua licha ya hayo matukio.Keshokutwa jamaa atainyea hadharani na kuikojolea.
Uislamu hauongezeki kwa sababu ya kusilimu. Fuatilia takwimu utajua unaongezekaje.Matukio kama hayo yanachangia Uislamu kufahamika na watu wengi zaidi kufuatilia hatimaye wengine kusilimu , miaka ya nyuma yametokea matukio mengi ya kuuchafua uislamu na kuchokoza lakini idadi ya watu kusilimu na Waislamu imeongezeka maradufu baada ya kupungua licha ya hayo matukio.
Mimi ninachoongea ni kutokana na data na taarifa za uhakika na sio hisia , haya cheki info hizi hapa sio za miaka mingi juzi juzi tu. Japo kuzaliana inaweza kuchangia lakini mchango unaotokana na watu kusilimu upo tena kwa kiwango kizuri tu.Uislamu hauongezeki kwa sababu ya kusilimu. Fuatilia takwimu utajua unaongezekaje.
Uislamu unaongezeka kutoka kwa mataifa yale yale ya kiislamu kuzaliana na kuzaana sana ila sio kwa kusilimu.
Sasa hapa umeweka nini?Mimi ninachoongea ni kutokana na data na taarifa za uhakika na sio hisia , haya cheki info hizi hapa sio za miaka mingi juzi juzi tu. Japo kuzaliana inaweza kuchangia lakini mchango unaotokana na watu kusilimu upo tena kwa kiwango kizuri tu.View attachment 2686823
View attachment 2686825
Kukusaidia uelewe, majority ya watu ulaya wanaachana na mambo ya dini baada ya kugundua ni ya kitapeli, sio kwamba wanasilimu. Sasa miaka 20 hakuna nyongezeka ya hata 2% hapo kuna kusilimu wapi?Mimi ninachoongea ni kutokana na data na taarifa za uhakika na sio hisia , haya cheki info hizi hapa sio za miaka mingi juzi juzi tu. Japo kuzaliana inaweza kuchangia lakini mchango unaotokana na watu kusilimu upo tena kwa kiwango kizuri tu.View attachment 2686823
View attachment 2686825
Kitaalamu ni kwamba : Msimamo kuwa sababu kuu ni kuzaliana na kuUndestimate mchango wa watu kusilimu haiMakesense moja kwa moja na dalili ni kushuka kwa idadi ya Wakirsto na Makanisa mengi kuwa tupu .Hapo inamaanisha ukiristo umeanza kudorora huku kitu kingine kikishamiri.Sasa hapa umeweka nini?
Ziko wapi takwimu za kusilimu sana na kuongeza uislamu hapo?
rudini huko kwa wavaa makobazi wenzenu sijui yemen..uarabu [emoji23][emoji23]nyambav mnafanya nini huko sweden ondokeni kwa watu...Yesu alikua mvaa kobazi mzuri tu,na kanzu yake jangwani akila tende na halua
Nakubali wengi ulaya wanaacha dini hivyo kufanya ukiristo udorore na wengi katika hao kuwa Atheist(tuchukulie 75%) na wachache kuingia kuwa Muslim( 15%) sasa hiyo halo ikiendelea haba na haba hujaza Kibaba na matokeo ya mwisho yatakuwa Ukiristo kutoweka kabisa na kubaki Uislamu na Atheism .Kukusaidia uelewe, majority ya watu ulaya wanaachana na mambo ya dini baada ya kugundua ni ya kitapeli, sio kwamba wanasilimu. Sasa miaka 20 hakuna nyongezeka ya hata 2% hapo kuna kusilimu wapi?
Wewe ukiangalia hapo, rate ya watu kuachana na dini na kusilimu ipi kubwa?
Sio kweli kuwa kuslimu ndio kunakosababisha uislamu uzidi kukua.Mimi ninachoongea ni kutokana na data na taarifa za uhakika na sio hisia , haya cheki info hizi hapa sio za miaka mingi juzi juzi tu. Japo kuzaliana inaweza kuchangia lakini mchango unaotokana na watu kusilimu upo tena kwa kiwango kizuri tu.View attachment 2686823
View attachment 2686825
Wao walienda kufanya nini kwa wengine kipindi Cha biashara ya utumwa na ukoloni!?rudini huko kwa wavaa makobazi wenzenu sijui yemen..uarabu [emoji23][emoji23]nyambav mnafanya nini huko sweden ondokeni kwa watu...
Sikutegemea kuandika utopolo kama huu mithili ya dunduka.Sio kweli kuwa kuslimu ndio kunakosababisha uislamu uzidi kukua.
1. High birth rates ndio big factor (hii iliwahi kufanyiwa research na pew research)
Piga hesabu mwanaume mmoja mwenye wanawake wanne azae watoto wa tatu kwa kila mwanamke atakuwa na watoto 12.
Hiyo ni sawa na jumla ya familia 4 za wasiokuwa waislamu.
2. There's no exit door in Islam
Ukiingia umeingia, kutoka lazima uache kichwa au kiungo chochote ambacho wataridhika.
Na sometimes hayo yote yasipotokea basi kubali kupoteza ndugu zako wote hadi familia inaweza kukutenga.
Kiufupi ni dini yenye mlango mmoja tu wakuingilia.