Aliyechoma Quran Sweden sasa misahafu 1000 yainuliwa juu na kisomo ili Kukomesha

Hv nan anachokoza uislam , hv vichwa vimewehuka mnapenda ukorof nyiny , aliyechana hiko kitab ni kijana wenu kwann mnataka tuhusisha wasio wa imani yenu ? Kama roho ya ukorof ni nin ? Mnapinga ukristu kweny nchi zenu ila mnataka hao hao mnaopinga dini zao et wawasaidie kumkamata jamaa
 
Wakristu tumeanza gundua iman hz za mchongo ila nyiny mmefungwa kwenye wingu la ujinga hamuon mapunguf ya hz iman , yaan mung aliyekuumba haez jipigania mpk uiombe serikali ya Sweden imkamate jamaa , na bado hamstuki
 
[emoji23] [emoji23] yaan mtu anaejielewa umpeleke kweny utumbo huo wa kuchinjana ? ATHEISM ndo iman pekee bora ina mising ya ukwel , Dini hz ni mchongo na upigaj kwa wachache
 
Twende mbele turudi nyuma,nyie Islam na Arabs,mnafanya nini nchi za wala kitimoto?si mrudi kwenu Arabia?mkiona mnazulumiwa,nendeni doha,UAE,Saudi nk,acheni wakristo tujidai,ulaya
Daah umeongea kizembe zembe sana hapa mwanetu.
 
Unapenda ubish wa kitoto ukwel una ujua , ndug yako akibadiki dini unajuwa utavyo mchukulia
 
Acha ubish wa kitoto hata hapa Tz iko hivyo sema sio kisheria
 
Fuatilia kabla ya kubishana
 
Umeandika ujinga , ukikuwa utaelewa
 
Sijaona hoja yako
 
Wakristu tumeanza gundua iman hz za mchongo ila nyiny mmefungwa kwenye wingu la ujinga hamuon mapunguf ya hz iman , yaan mung aliyekuumba haez jipigania mpk uiombe serikali ya Sweden imkamate jamaa , na bado hamstuki
Nimefungua JF nimekuta notifications umeniQuote humu mara nyingi , nipende kukutaarifu kuwa hutoniona nikipoteza muda wangu kujadilina na mtu kama wewe mwandiko wako tu unaonyesha jinsi gani ulivyo .Nimekupuuza rasmi sitokujibu chochote ..
 
Sasa ndiyo msiwe mnaandamana, muache watu waitangaze kwa njia hiyo. Si mmekiri kuwa unawasaidia? Kelele za nini?
Sasa mjinga mmoja anafanya ujinga wake kwa dakika moja na nusu, nyie mnaitana kwa maelfu, mnawasha magari, mnachoma gesi na kwenda kutumia masaa kadhaa kumjibu!!
 
SOLUTION: Tokeni nchi za watu nendeni kwa ndugu zenu Arabia, arab world
Sijui na wakristo waondoke warudi ..... wapi? maana Jerusalem iko chini ya Yahudi.

Umesahau kama na huu ukristo asili yake ni huko huko eneo la Arabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…