Pre GE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

Pre GE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama kahamia CCM 2021 ina maana huyo sio mwanaCCM halisi. Ni pandikizi la mtu. Kama kuna watu wako nyuma yake wanampa kiburi wajitathmini.
 
Huyu mzee sio mchovu kama unavyomfikiria, anawasemea watu waoga kama ninyi mliojichokea ki fikra!
Okay sio muoga...
Lakini je, mfumo wa hicho chama chao unakubaliana na hoja zake?
Je chama kina support hoja zake?
Huku ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu tu mkuu, hata ukikasirika bado hakuna unacho weza ukabadilisha kwenye mfumo wa hicho chama chenu
 
Kwenye maisha, usishindane na mtu anae kuzidi nguvu na mamlaka, especially kama hakutaki haoni shida kukufutilia mbali.
Sasa kwanini urisk pumzi yako kwa mambo ambayo yanaepukika na sio ya lazima??
Sio kila mtu ni muoga kama wewe
Haki inapiganiwa vitu vingi unavyoviona leo watu walivipigania kwa jasho na damu
 
Aache kusumbua watu, yeye CCK imemshinda anakuja kuleta porojo

CCM ina wenyewe
Kwahiyo Ni Chama cha kibaguzi maana kina "akina fulani" Na si kila mtu ana nafasi kwenye Chama. Naona Hakina tofauti Na Chadema Ile iyokuwa Chini ya Chagga boys
 
Kwahiyo Ni Chama cha kibaguzi maana kina "akina fulani" Na si kila mtu ana nafasi kwenye Chama. Naona Hakina tofauti Na Chadema Ile iyokuwa Chini ya Chagga boys
Chagga boys hawajawah kuwa na chama cha siasa..

Ni kwamba nchi hii kuwa mchagga kwenye nafasi za kisiasa ni dhambi sana...
Pale kwenye top layer ya CDM wachagga walikuwa hawazid watatu sasa hiyo kelele kama vile wanafaidika na CDM..


Wachagga sio wanyonge na Establishment ya CCM inawanufaisha zaidi kwenye Biashara zao kuliko siasa za CDM....

This is just to make the facts right...

Kuhusu ubaguzi wa CCM ni dhana tu, na hakuna kitu mnaweza fanya..😀
 
Back
Top Bottom