Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako ni batili. Haiendani na maudhui ya thread.Ashavuliwa uwanachama wa CCM. Anaweza kwenda Chadema kama ni asset.
View: https://youtu.be/oBNyN8ncqiI?si=ZIyk5CUcoD3-qrAb
➡Anasema, hajui na wala hatambui kama amefukuzwa uanachama wa CCM...
➡Hakupinga kuteuliwa kwa Samia kuwa mgombea u - Rais bali anapinga mchakato wa uteuzi wake kwa kuwa haukufuata utaratibu wa kikatiba na hivyo katiba imevunjwa..
➡Amewahimiza wana CCM wote wanaotaka kugombea u - Rais kwenda kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwa wagombea u - Rais kufanya hivyo maana kilichofanyika Dodoma tarehe 19/1/2025 ni ubatili mtupu kikatiba...
➡Mwisho, amemaliza kwa kuahidi kumpeleka mahakamani katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro kwa kumuita "mhaini" eti tu kwa kupinga mchakato batili wa kumteua Bi Samia kuwa mgombea u - Rais pekee bila kufuata utaratibu wa kujaza fomu na kusimama mbele ya mkutano mkuu kuomba kuteuliwa ili akathibitishe huo uhaini wake pamoja na kumsafisha..
➡Ameendelea kushikilia msimamo wake kutaka mchakato wa uteuzi wa mgombea u - Rais CCM urudiwe kwa sbb ule ulikuwa batili kikatiba. Hakuna utamaduni wa kumteua mgombea u Rais ndani ya CCM kwa azimio tu. Hakuna utaratibu wala utamaduni huo..

AminaaaaKwa mbaaali namuona afande Mafwele akipiga jaramba kwenda kunyofoa roho ya huyo mzee. Ilaaniwe CCM.
Duh 🙄 !Kwa mbaaali namuona afande Mafwele akipiga jaramba kwenda kunyofoa roho ya huyo mzee. Ilaaniwe CCM.
View: https://youtu.be/oBNyN8ncqiI?si=ZIyk5CUcoD3-qrAb
➡Anasema, hajui na wala hatambui kama amefukuzwa uanachama wa CCM...
➡Hakupinga kuteuliwa kwa Samia kuwa mgombea u - Rais bali anapinga mchakato wa uteuzi wake kwa kuwa haukufuata utaratibu wa kikatiba na hivyo katiba imevunjwa..
➡Amewahimiza wana CCM wote wanaotaka kugombea u - Rais kwenda kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwa wagombea u - Rais kufanya hivyo maana kilichofanyika Dodoma tarehe 19/1/2025 ni ubatili mtupu kikatiba...
➡Mwisho, amemaliza kwa kuahidi kumpeleka mahakamani katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro kwa kumuita "mhaini" eti tu kwa kupinga mchakato batili wa kumteua Bi Samia kuwa mgombea u - Rais pekee bila kufuata utaratibu wa kujaza fomu na kusimama mbele ya mkutano mkuu kuomba kuteuliwa ili akathibitishe huo uhaini wake pamoja na kumsafisha..
➡Ameendelea kushikilia msimamo wake kutaka mchakato wa uteuzi wa mgombea u - Rais CCM urudiwe kwa sbb ule ulikuwa batili kikatiba. Hakuna utamaduni wa kumteua mgombea u Rais ndani ya CCM kwa azimio tu. Hakuna utaratibu wala utamaduni huo..
Locuta causa Finita ! Hiyo ni kwa kilatini lakini 🙄 !“Tutaenda mpaka tutafika Mahali” -
Hayupo mwenyewe huyu! Nilikuwa naamini Anguko la Ccm linakuja, nilikuwa nautafuta mlango, ninaanza kuuona’!!!!!
Wazanzibar mnagawanya nyara za tanganyikaAshavuliwa uwanachama wa CCM. Anaweza kwenda Chadema kama ni asset.
Freedom of expression ??!huyu mzee kuna anachokitafuta anadhani chadema au vyama vingine vitamsaidia yakimkuta huyu anakesi za kujibu muda si mrefu anataka kuwapa shida tu nduiguzake kuja kumuangalia magereza mwaka mzima
View: https://youtu.be/oBNyN8ncqiI?si=ZIyk5CUcoD3-qrAb
➡Anasema, hajui na wala hatambui kama amefukuzwa uanachama wa CCM...
➡Hakupinga kuteuliwa kwa Samia kuwa mgombea u - Rais bali anapinga mchakato wa uteuzi wake kwa kuwa haukufuata utaratibu wa kikatiba na hivyo katiba imevunjwa..
➡Amewahimiza wana CCM wote wanaotaka kugombea u - Rais kwenda kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwa wagombea u - Rais kufanya hivyo maana kilichofanyika Dodoma tarehe 19/1/2025 ni ubatili mtupu kikatiba...
➡Mwisho, amemaliza kwa kuahidi kumpeleka mahakamani katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro kwa kumuita "mhaini" eti tu kwa kupinga mchakato batili wa kumteua Bi Samia kuwa mgombea u - Rais pekee bila kufuata utaratibu wa kujaza fomu na kusimama mbele ya mkutano mkuu kuomba kuteuliwa ili akathibitishe huo uhaini wake pamoja na kumsafisha..
➡Ameendelea kushikilia msimamo wake kutaka mchakato wa uteuzi wa mgombea u - Rais CCM urudiwe kwa sbb ule ulikuwa batili kikatiba. Hakuna utamaduni wa kumteua mgombea u Rais ndani ya CCM kwa azimio tu. Hakuna utaratibu wala utamaduni huo..
Ana hoja za msingi lakini.Ameshafukuzwa anajifariji Kwa maumivu 😂😂
Zipi hizo?Ana hoja za msingi lakini.
Umesikiliza hiyo clip?Zipi hizo?
Ya kwako ndio Iko sahihi sio? Basi hongera!Hoja yako ni batili. Haiendani na maudhui ya thread.