Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Toka CCM washike halmashauti ya Moshi, hakuna maendeleo ni majungu, vitna na Ushoga tu... Moshi imeandika historia; umekuwa mji wa kwanza nchini meya kusapoti ushoga na kuahidi kuwatetea kwa nguvu zote! Kabila gani huyu? Chama gani huyu?