Hata kama wale ndugu ni wa mchongo means ndugu wa ukwel wapo inamana mpaka leo hawana taarfa zozote za ndugu yao???Halafu wakaita Ndugu na Mke wa mchongo.
NB: Wanaweza kuplan mambo ya uongo kwa kutumia akili ila wanashindwa kutumia akili kuplan namna tunaweza kupiga hatua kimaendeleo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na we toa maoni yako utuvuruge kabisaHii nchi ngumu hii
Sasa tumuamini nani? Mbona mnatuchanganya?
Dar ni joto. Mgonjwa amekaa muda mrefu hospitalini, anapotoka lazima awe na ung'aavu fulani ukizingatia alikuwa hashughulishi mwili kwa kazi yoyote.Mnaoelewa kinachoendelea tunaomba majibu, mtu anaingiaje hospitali mzee na mweusi, halafu anatoka mweupe kijana? Picha chini inajieleza
Yule mzee aliyegongwa na gari alikuwa na komwe.Hii nchi ngumu hii
Sasa tumuamini nani? Mbona mnatuchanganya?
Ajali ni kitu kibaya sana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na we toa maoni yako utuvuruge kabisa
Mmemuonaje wakati video haijaonyesha sura clearly?Yule mzee aliyegongwa na gari alikuwa na komwe.
Huyu wa sasa ana BICHWA FLATI.
Afu yule alikuwa mbabuHuyo mzee alishakufa wamemuweka mtu mwingine..nadhani
Ndio maana nimepata mashakaAfu yule alikuwa mbabu
Baadae nitatoa maelezo.Mmemuonaje wakati video haijaonyesha sura clearly?
Kumbe na wewe huwa una comment ndugu, nilidhani huwa una like tu comments za wengineWakikaa kimya kwan inakuaje kwan wanadaiwa 😄
Pasije pakawa na insurance fraud ya NHIF huko..., maana kwa ajali kama ile, halafu mtu anarudi kuwa hivi..., ukiambiwa katibiwa kwa bilioni 2 huwezi kubisha aiseeBongo nyoso unatakiwa uache watu waamini wakitakacho ivi mamlaka idanganye kifo cha mtu mmoja ktk ajali ambayo imetokea dhahiri ili iweje wakati ajali zinatokea kila mara na watu wengi wanakufa na idadi yao inatangazwa bila kificho huyo mtu ana impact gani haswa mpaka taarifa zake zifichwe sema tu mijitu ya jf smtym inajitoa ufaham tu ili mradi mvurugano
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app