Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

Halafu wakaita Ndugu na Mke wa mchongo.

NB: Wanaweza kuplan mambo ya uongo kwa kutumia akili ila wanashindwa kutumia akili kuplan namna tunaweza kupiga hatua kimaendeleo
Hata kama wale ndugu ni wa mchongo means ndugu wa ukwel wapo inamana mpaka leo hawana taarfa zozote za ndugu yao???
 
Mnaoelewa kinachoendelea tunaomba majibu, mtu anaingiaje hospitali mzee na mweusi, halafu anatoka mweupe kijana? Picha chini inajieleza

Dar ni joto. Mgonjwa amekaa muda mrefu hospitalini, anapotoka lazima awe na ung'aavu fulani ukizingatia alikuwa hashughulishi mwili kwa kazi yoyote.

Alikuwa anaumwa, kupungua mwili/kukonda lazima itokee. Hii ni nature ya ubinadamu duniani kote bila kujali "status" ya mtu.

Kwa jinsi ulivyouliza swali lako, ni kama vile taarifa ya kuruhusiwa mgonjwa ni ya uongo (udanganywe ili iweje?).

CCTV inaweza kweli kuonyesha rangi sahihi ya mtu?

That's "falacy".
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na we toa maoni yako utuvuruge kabisa
Ajali ni kitu kibaya sana,
Sidhani kama mtu anaweza kusingizia..
Na pia Kuna kukongoroka jamani,kuugua vidonda siyo kitu kidogo kama wengi wanavyodhania,,vidonda vinauma sana,na wakati vibichi jata hali ya ulaji huathirika.

Na anaonekana kabisa ana makovu.
Sidhani kama serikali Ina haja ya kudanganya watu,
Ili wapate nini sasa?
 
Kinachonishangaza ni hawa watu wanaokuwa wakali kama pilipili kisa tu mwandishi wa uzi kaonyesha wasiwasi wake, hii inaonesha kuna kitu, mbona ukweli huwa unajipambania wenyewe, mbona mnapambana sana kukanusha.
 
Bongo nyoso unatakiwa uache watu waamini wakitakacho ivi mamlaka idanganye kifo cha mtu mmoja ktk ajali ambayo imetokea dhahiri ili iweje wakati ajali zinatokea kila mara na watu wengi wanakufa na idadi yao inatangazwa bila kificho huyo mtu ana impact gani haswa mpaka taarifa zake zifichwe sema tu mijitu ya jf smtym inajitoa ufaham tu ili mradi mvurugano

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Pasije pakawa na insurance fraud ya NHIF huko..., maana kwa ajali kama ile, halafu mtu anarudi kuwa hivi..., ukiambiwa katibiwa kwa bilioni 2 huwezi kubisha aisee
 
Back
Top Bottom