Aliyehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kuchoma picha ya Rais amechukuliwa na watu wasiyojulika, mpaka sasa hajulikani alipo

Huyu si alichukuliwa na chadema walioenda kumlipia faini? Walimpeleka wapi?
 
Hao nao kama ni tanpol basi watakuwa hawana kazi ya kufanya. Wanahangaika na mambo yasiyo na tija kwa taifa. Picha si aliichora mwenyewe?
watu weusi tuna akili basi. ni ujinga tunaweza kwa ufanisi.
 
ni wajinga wanajituma kufanya huo ujinga wakidhani watapongezwa na kupandishwa vyeo na mabwana zao watawala.
 
Wakati anachoma si alikua anaona sifa ngoja akazichome vizuri sasa huko alipo.
 
Naona juhudi zile zile zilizomfanya asiendelee na upili wa awamu yake ndio hizo hizo zinatumika kumkwamisha na huyu Kwa style Ile ile!!

Kwani kama wahusika wameamua hivyo hakuna inteligent way of dealing with this without bleeding,trauma and pain to the Republicans!!?

Naaamini Kuna namna ambayo ni safe wanaweza tumia kuliko hii,kama wakitumia ubongo zaidi ya hapo!!njia hii inaumiza zaidi sio TU wahusika Bali na jamhuri inaumia coz haiwezi ruhusu maumivu Kwa watu wake ambao wametumia gharama nyingi na kubwa kuwalea!!

NDIVYO UBONGO WANGU UNAVYOWAZA JAPO SIJUI KAMA FIKRA ZANGU ZIPO SAHIHI!
 
Aamua ni muuaji kama Magufuli
 
dongoo langu kwenu sirikali kwani I mjisumbue na harad
ali kama hio🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…