Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kuna vitu vingine unasoma mpaka mtu unabaki dah.
Watu wanadhani care services ni sawa shughuli zao za kubangaiza walizozoea mtaani.
Huduma za afya ni heavily regulated, kitu kama akitakiwi kutumika ni marufuku. If anything alichoonesha yule nurse wa kiume yule dada huwa ana vunja miiko ya kazi.
Mjomba ingekuwa huku kijijini kwetu ‘watch dog’ wangevamia hiko kituo cha afya kuona nini kingine akifuatwi na huyo whistle blower anapewa kazi sehemu nyingi.
Technically kuna mambo mengi sana unajiuliza especially kwenye inventory control inakuwaje hadi products zina expire hawajui usage zao wananunua kushinda matumizi ya muda, how long hizo product shelf life labda wananunua sehemu za ovyo vitu ambavyo karibu vina haribika at cheap price.
Ni hivi alichokifanya huyo nurse, mziki wake ungeikumba management ya kituo kizima.
Kibongo bongo haa nurse wa kiume kanyimwa penzi ndio maana ka-record. Tunasafari ndegu sana ya maendeleo kwa akili hizi. Maendeleo yanaanza na fikra kwa hizi zetu bado sana.