Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaaaKwakuwa tayari Serikali imeaibika....
Rose na James watasimamishwa kazi kama ilivyoahinishwa na kaimu mkurugenzi wa wilaya, then baada ya uchunguzi wote tunajua nini kitafuata kwa majibu ya (hapakuwa na dawa zilizo expire) na mwisho tutaambiwa kwamba tume imebaini (watumishi Rose na James walikuwa kwenye tofauti zao binafsi na wakazileta kazini) hivyo tume itawapa onyo kali ili iwe fundisho kwa wengine na kisha watahamishwa vituo vya kazi.
Kwa mtazamo wangu, Mganga mkuu na Mfamasia mkuu wa wilaya ndio walipaswa awajibike kwanza kwenye hili saga kwa kutoondoa dawa zilizo expire na kutokuwajibika.
Unaweza ona kwamba kafichua uovu ila kwenye utumishi wa uma kuna kanuni na taratibu zake pia kuna miongozo inayofuatwa. Hatukatai alifichua kitu muhimu ila hakupaswa kufanya vile kuna wakuu wake wa kazi angeweza kwenda kupata muongozo kwamba hilo swala litatuliweje sio kupost mitandaoniSasa huyo alierekodi kafichua maovu anasimamishwa vipi, hii ndio sababu watu wanaogopa kufichua maovu na yote hii ni sababu Serikali haipendi kukosolewa mapungufu yake.
Mawazo finyu ya fakeni africansYule dada, alijua wako wawili tu, kumbe mwenzake anamrekodi,, kwa jinsi anavyomjibu inaonyesha huyo dada alishagamkataa huyo jamaa.
Ndo jamaa akaja na hiyo mbinu ya kumharibia kazi
Hakuna uzalendo wa namna hiyo.Acha uzwauzwa, yule kijana ni mzalendo na shujaa kufichua uovu unaotendeka kwenye sekta ua afya. Mbona uko hivyo? Unafurahia wagonjwa kupimwa vipimo vyeki? tena mjamzito hapo kuna watu wawili tunataka kuwadhuru au kuwaangamiza. Mkoje lakini? Au ndio roho za uchawi imekujaa.
Vipi mkuu..??We jamaaa
Sema wizara huska ndo haipendi, lazma tuanze kuchambua makosa kuliko kusema SERIKAL Kwa ujumla. Hii inaongeza nguvu ya KUSUTA.Sasa huyo alierekodi kafichua maovu anasimamishwa vipi, hii ndio sababu watu wanaogopa kufichua maovu na yote hii ni sababu Serikali haipendi kukosolewa mapungufu yake.
Kwann uamon hii njia Kama TATIZO NI LETU SOTE?. We si kiongoz mzuri unapenda kando kando...Zipo hatua za kufuata katika kuibua maovu....Nadhani wapo viongozi katika hospitali zao na hata wilayani ilitakiwa afikishe malalamiko huko lakini sio kurekodi na kutuma mtandaoni....Huo sio utaratibu.
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Mkuu una kiona mbali. Utabiri wako umetembelea mule mule, ila hatima yaweza kuwa tofauti kidogo.Kwakuwa tayari Serikali imeaibika....
Rose na James watasimamishwa kazi kama ilivyoahinishwa na kaimu mkurugenzi wa wilaya, then baada ya uchunguzi wote tunajua nini kitafuata kwa majibu ya (hapakuwa na dawa zilizo expire) na mwisho tutaambiwa kwamba tume imebaini (watumishi Rose na James walikuwa kwenye tofauti zao binafsi na wakazileta kazini) hivyo tume itawapa onyo kali ili iwe fundisho kwa wengine na kisha watahamishwa vituo vya kazi.
Kwa mtazamo wangu, Mganga mkuu na Mfamasia mkuu wa wilaya ndio walipaswa awajibike kwanza kwenye hili saga kwa kutoondoa dawa zilizo expire na kutokuwajibika.
Serikali yetu tunaijua, nikama mzazi na wanawe...tehMkuu una kiona mbali. Utabiri wako umetembelea mule mule, ila hatima yaweza kuwa tofauti kidogo.
Na akifanya mchezo kazi anapoteza just kuweni wapole. Nilijuwa atapata sifa ya muda ila adhabu yake atachekea chooni. Huwezi mrekodi mwenzako kazin kwa sababu maalumu ukarusha kwenye mitandao Yani namuonea huduma huyo kijanaBwana James Getogo wa Ishihimulwa Tabora amesimaishwa kazi pamoja na dada Rose Shirima kupisha uchunguzi. Wawili hao walionekana kwenye video wakijibishana juu ya kutumia vifaa tiba vya malaria vilivyopita muda.
=====
Watumishi wawili wa Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa Rose Shirima na James Getogo waliohusika kwenye video ya mabishano iliyosambaa wamesimamishwa kazi kwa muda ili kupisha uchunguzi.
Watumishi hao wamesimamishwa kazi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Uyui, Tabora Dr. Kija Maige ambaye amesisitiza kuwa wawili hawa wanapisha uchunguzi kwa mujibu wa kanuni ya 37 ya kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2003.
“Uchunguzi huo utashirikisha Mabaraza yao ya kitaalamu ambayo ni Baraza la Wauguzi Tanzania na Baraza la Wataalamu wa Maabara Tanzania na hatua zaid zitafuata baada ya kukamilika kwa uchunguzi huo.
Umeona video ya pili? James anachomokaNa akifanya mchezo kazi anapoteza just kuweni wapole. Nilijuwa atapata sifa ya muda ila adhabu yake atachekea chooni. Huwezi mrekodi mwenzako kazin kwa sababu maalumu ukarusha kwenye mitandao Yani namuonea huduma huyo kijana