Aliyeibua uozo wa vifaa tiba Tabora asimamishwa kazi

We jamaaa
 
Sasa huyo alierekodi kafichua maovu anasimamishwa vipi, hii ndio sababu watu wanaogopa kufichua maovu na yote hii ni sababu Serikali haipendi kukosolewa mapungufu yake.
Unaweza ona kwamba kafichua uovu ila kwenye utumishi wa uma kuna kanuni na taratibu zake pia kuna miongozo inayofuatwa. Hatukatai alifichua kitu muhimu ila hakupaswa kufanya vile kuna wakuu wake wa kazi angeweza kwenda kupata muongozo kwamba hilo swala litatuliweje sio kupost mitandaoni
 
Yule dada, alijua wako wawili tu, kumbe mwenzake anamrekodi,, kwa jinsi anavyomjibu inaonyesha huyo dada alishagamkataa huyo jamaa.

Ndo jamaa akaja na hiyo mbinu ya kumharibia kazi
Mawazo finyu ya fakeni africans
 
Hakuna uzalendo wa namna hiyo.

Kijana amekiuka utaratibu na kujikuta akiigombanisha jamii dhidi ya serikali.

Huu ni uhaini.
 
Sasa huyo alierekodi kafichua maovu anasimamishwa vipi, hii ndio sababu watu wanaogopa kufichua maovu na yote hii ni sababu Serikali haipendi kukosolewa mapungufu yake.
Sema wizara huska ndo haipendi, lazma tuanze kuchambua makosa kuliko kusema SERIKAL Kwa ujumla. Hii inaongeza nguvu ya KUSUTA.
 
Kwann uamon hii njia Kama TATIZO NI LETU SOTE?. We si kiongoz mzuri unapenda kando kando...
 
Mkuu una kiona mbali. Utabiri wako umetembelea mule mule, ila hatima yaweza kuwa tofauti kidogo.
 
Na akifanya mchezo kazi anapoteza just kuweni wapole. Nilijuwa atapata sifa ya muda ila adhabu yake atachekea chooni. Huwezi mrekodi mwenzako kazin kwa sababu maalumu ukarusha kwenye mitandao Yani namuonea huduma huyo kijana
 
Umeona video ya pili? James anachomoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…