Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

Mtu anatoka Mkoani unakuja kumpa pikipiki Dar. Hata hiyo miezi mi 3 alijitahidi sana.
Wewe ndio wa kulaumiwa. Alitakiwa akae hata mwaka.
 
Mkuu Mimi tu ni Mmojawapo hujakosea.
 
Looh dunia simama nishuke
 
Hata mimi namvua vyeo .
Mimi nipepunguza vyeo vyake pia, huyu mwamba nilijua hata mbinu za medani anazijua na kumsambaratisha mtu ubongo ni kitu cha kawaida, sasa kukimbia eneo la tukio bila kukusanya taarifa za kiintelijsensia inaleta ukakasi kwenye vyeo nilivyokuwa naamini anavyo
 
Mzee unagongea Hadi condoms[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe si umesema unaogopa majeruhi/maiti!?

Au hapo mlikuwa 'location' mkiigiza.
 
Baadhi ya Waendesha bodabida ni VIBURI mno,wacha wafe,
*sionagi uharaka unaowasababishia kupita kwa kasi katika kaupenyo pengine kadogo mno,sijui wanawahi nini ?
N.B:-UNAPOENDA KUKODI BODABODA ANGALIENI NA RIKA LA DEREVA WA CHOMBO.
 
Mkuu mimi binafsi sikusikia mshituko kabisa muda ule maana dereva na konda wa daladala na baadhiya abiria wanasema walishuhudia kwa macho yao akidondoka mwenyewe mpaka chini bila kugongwa na gari lolote ila ilikua ajari mbaya sana.
 
nilikuwepo inatisha sana maana mdau alikua anatoka damu puani na mdomoni kwa kifupi amekufa kwa mateso sana mpaka inasikitisha aise na inasemekana alianguka mwenyewe bila kuguswa na gari yeyote.
Aisee, kajiua!
 
Jinsi wanavyoendesha hizo pikipiki, walio wengi hawajali maisha yao hata huwa sina haja ya kuwasikitikia. Maana wao wenyewe hawajijali na kujisikitikia
Yaani bodaboda, ukiwa unaendesha gari, inabidi wewe ndiye mwenye jukumu na maisha yake, wenyewe wala hawana habari nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…