Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

Wanachomoa side mirrors? Kwanini?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukiendesha hil dude automatically Akili inakuruka
 
Gentamycine unaenda kumbandua demu kwenye mazingira anayoishi?? Unataka kuolewa wewe swahiba wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani bodaboda, ukiwa unaendesha gari, inabidi wewe ndiye mwenye jukumu na maisha yake, wenyewe wala hawana habari nayo.
Hakika! Mimi wameshawahi kunisababishia ajali kabisa
 
Sasa kama ulikimbia wewe uliyepo kwenye tukio unakuja hapa kutusimlia nini ,,,wakati ulikimbia bila kutoa msahada....
 
Kuna mwingine kafariki kama 2 weeks alikua mafuta akapiga shimo akaingia kwenye fuso likapita nae. Hawa madogo sijui kwanini hawawi na tahadhari
 
Mm nina shemeji yangu katoka bush bado chalii mdogo sana, anang'ang'ani nimnunulie bodaboda, nimemkatalia katakata, ameninunia na home kahama, nashukuru dada yake muelewa akaniambia niachane nae
 
Nliona ajali mbaya ya boda.
Walikuwa wanachanga elf 2 kila mshiriki then wanaanza kufukuzana, wa kwanza anazichukua zote. Basi bwana wakawa wamechanga 3 elf 6. Wakaanza kufukuzana. Umbali wenyewe kama mita 100 tu na kurudi walipotoka. Wameondoka vizuri tu sasa kama mita 50 kulikuwa na vx zile za zamani ishapigwa ngao, imepaki pembeni mwa barabara, kulikuwa na kona ya kijinga kijinga hivi, mmoja wa nyuma sijui alijichanganya aje akaingia mzima mzima kwenye vx. Nakwambia aliishia humo akatokezea nyuma akapitiliza hadi mtaroni akiwa keshakufa tayari. Dam yake ilichuruzika nyingi umbali mrefu tu
 
Boda boda zingepigwa marufuku, kila siku ni majanga ya vifo. Usalama wake ni finyu, kwa nini ilikubaliwa kuwa njia ya kusafirisha abiria?
Tupande mwendokasi , daladala na bajaji. Kama una haraka wahi kutoka nyumbani, usiweke roho yako rehani.
 
Northgatan
Hahahahaha ntasafirisha moja pamoja na dereva wake toka bongo niipeleke huko, sipati picha kama kuna atakaekubali kupanda🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hapo ndio hawajui majanga yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…