Pre GE2025 Aliyekosoa uteuzi wa Samia kuwa mgombea Urais ahofia maisha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio kila aliyeandikwa kwenye biblia alikuwa ni mtumishi wa Mungu, wengine wana dhambi tu kama sisi.
 
Kadri navyorudia rudia kusikiliza anayoeleza sijaona sehemu ambayo ametishiwa zaidi anaweweseka tu. Japo wasiwasi ndio akili
 
Wewe umekosa akili.
 
Mchungaji gani huyu hana ulinzi wa Mungu
Tumeumbiwa hofu sisi ni binadamu...hata Yesu katika ubinadamu wake aliogopa akasema Baba kikombe hiki nisikinywee ikiwa ni mapenzi yako laah mapenzi yako yatimizwe...ndio ubinadamu
 
Aache kujipa umaarufu, hamna wakumdhuru
 
Wamesham TAG
 
Hii Katiba ni Ya kipumbavu Sana Rais ambae ni muajiliwa anakua Mungu mtu
 
Uwende mwenyewe ukalivurumue mzinga wa nyuki unategemea nini hao wenzako hawana mdhaha hata kifogo hasa likija swala la Madaraka ukilita masihara watakubadisha jina kweli. We endelea kulabila labila tu.
 
Sio kila aliyeandikwa kwenye biblia alikuwa ni mtumishi wa Mungu, wengine wana dhambi tu kama sisi.
Kwahiyo hao niliowatolea mfano, Yesu na Samuel walikua na dhambi? Kama Yesu nae alikua na dhambi then HAKUNA ukristo. Wote hao Biblia inasema, "....walikua wakimpendeza MUNGU na wanadamu"
 
Mchungaji wa mifugo huyo
 
Hakuna Uhuru usiokuwa na mipaka - hatadhurika ila watanzania tujifunze ustarabu.
 
Hakuna atakayeishi milele tena wewe unaweza ukafa ukamwacha huyo mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…