Pre GE2025 Aliyekosoa uteuzi wa Samia kuwa mgombea Urais ahofia maisha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MCH unafeli wapi? Unaogopa nini sasa.hivi kina luka mtakatifu nao waliomba na kulalamika wanaotishiwa maisha.kikubwa umesema kweli uache ukweli ujipiganie wenyewe hata kama watakuuwa
 
Chadema ikipata wabunge 10 wa kuchaguliwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 basi nipigwe ban JF la MAISHA. Na hata nisipopigwa ban, mimi nitaacha kuwa member wa JF na nitajiondia. Itunze post yangu kwa rejea baada ya uchaguzi.
Kwa sheria hizi za uchaguzi? unachosema ni kweli kabisa na ndicho mnachojivunia sababu mnajua hata kama watu wamewachoka lakini bado mtaiba kura,kumbuka uchavuzi alioufanya mwendazake Chadema ikaambulia mbunge mmoja, ule ulikuwa ni upuuzi wa wajinga kama wewe wanaotegemea kuiba kura na ndicho mnachojivunia
 
Mkiibiwa si mnakinukisha? Au mnaogopa Polisi?
 
Unawaondoa wagombea wa upinzani unategemea nini
Unatangaza mshindi mtu mwingine unategemea nini

Kura ya mwananchi haiheshimiwi na kutiliwa maanani
Je wanaondolewa wote..?? If not..then hao wachache wanaondolewa ujue Kuna sehemu wamekosea terms and rules za tume ya uchaguzi
 
Bob Bob Marley aliwahi kusema "You Will never find Justice in the world that criminal make the rules"
 
Hayo mambo sasa ndio hayafai mtu akitoa mawazo yake anaonekana ni Adui katika Chama !
Mambo haya yalianzia kwa awamu ya NNE ! Mpaka wengine wakapewa na vyeo kwa kuwadhalilisha wale waliokuwa na mawazo mbadala 😳 !

Jamaa alikuwa ana jifanya kama ni Kiongozi anayeruhusu freedom of expression lakini kumbe ilikuwa ni hadaa tu ,
Watu waliumizwa na wengine kudhalilishwa 😳 !
Tunaiachia KARMA ndio muamuzi 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…