The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Umeshakunywa chai, maana naona makasirikoNdo unachojua kuita watu misukule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshakunywa chai, maana naona makasirikoNdo unachojua kuita watu misukule
na unaona hiyo impunity ni sahihi sana kwa watu na nchi ya watu waliostaraabika?Bado hajasema atajua hajui
Nona unaona hiyo impunity ni sahihi sana kwa watu na nchi ya watu waliostaraabika?
Mchunga mbuzi naye ni mchungaji sio lazima mchungaji awe wa kanisani tuMchungaji gani huyu hana ulinzi wa Mungu
Kwa sheria hizi za uchaguzi? unachosema ni kweli kabisa na ndicho mnachojivunia sababu mnajua hata kama watu wamewachoka lakini bado mtaiba kura,kumbuka uchavuzi alioufanya mwendazake Chadema ikaambulia mbunge mmoja, ule ulikuwa ni upuuzi wa wajinga kama wewe wanaotegemea kuiba kura na ndicho mnachojivuniaChadema ikipata wabunge 10 wa kuchaguliwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 basi nipigwe ban JF la MAISHA. Na hata nisipopigwa ban, mimi nitaacha kuwa member wa JF na nitajiondia. Itunze post yangu kwa rejea baada ya uchaguzi.
Kwani wananchi huwa wanashikiwa bunduki kumchagua mgombea..?Ruhusuni uchaguzi huru kama mnajiamini
Hapo sawaMchunga mbuzi naye ni mchungaji sio lazima mchungaji awe wa kanisani tu
Mkiibiwa si mnakinukisha? Au mnaogopa Polisi?Kwa sheria hizi za uchaguzi? unachosema ni kweli kabisa na ndicho mnachojivunia sababu mnajua hata kama watu wamewachoka lakini bado mtaiba kura,kumbuka uchavuzi alioufanya mwendazake Chadema ikaambulia mbunge mmoja, ule ulikuwa ni upuuzi wa wajinga kama wewe wanaotegemea kuiba kura na ndicho mnachojivunia
Unawaondoa wagombea wa upinzani unategemea niniKwani wananchi huwa wanashikiwa bunduki kumchagua mgombea..?
Je wanaondolewa wote..?? If not..then hao wachache wanaondolewa ujue Kuna sehemu wamekosea terms and rules za tume ya uchaguziUnawaondoa wagombea wa upinzani unategemea nini
Unatangaza mshindi mtu mwingine unategemea nini
Kura ya mwananchi haiheshimiwi na kutiliwa maanani
Wanamuonea na kutaka kumuua kwasababu ya imani yake ya kweli.
THE BIG SHOW Mufti kuku The Infinity hydroxo Jagina FaizaFoxy ITR Covax Missile of the Nation Adiosamigo gTurn Ritz Babu mwajuma Sir John Roberts Malaria 2 gallow bird inamankusweke
Nyau de adriz
NDIOndivyo alivyokuambia ??
Kumbe ndiyo maana umekuwa chawa wakeNDIO
Tulia weweeeKumbe ndiyo maana umekuwa chawa wake
BobSiku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai kuanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu maisha yake na kuwa yupo katika hatari baada ya kusema ukweli.
Akizungumza na Jambo Tv kuhusu kinachoendelea, Malisa amesema “na niwaambie watanzania wajue tu kwamba nipo kwenye wakati mgumu sana kwa sababu tu nimesimama kusema kweli, tumefika mahali hata watu wanatoa ushauri kwamba afadhali uondoke hata nchini”
Soma pia: Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama
Aidha Dkt. Malisa ameongeza kuwa ameshangazwa sana na hali hiyo ya kufikia kutishiwa hali ya kuwa tu ni kasema ukweli “Tunafika mahali tunasema hivi nchi yetu tupo hapo mahali pa kutishiwa kwa sababu tu unasema kweli. Nakumbuka mwanzoni kuna watu walikuja wakaniambia bana jihadhari” amesema Dkt. Malisa
Aidha amewaomba watanzania kumuombea kwa Mungu kwani anaamini ulinzi wa Mungu utamuwezesha kuivuka hali anayopitia
View attachment 3240687
Bob Marley aliwahi kusema "You Will never find Justice in the world that criminal make the rules"Hili niwaambie ukweli, kukosoa jambo la mtu ni kukosoa watu wote wenye imani nao, nakukuweka ww kwenye hali mbaya. Katika eneo lolote la maisha.
Watanzania tujifunze hapa haswa vijana. Mzee huyu kakosa tu kaba na Hana Aibu.
Binadamu lazma uwe na kaba na aibu katika matendo yako narudia haswa sisi watanzania.
Kuishi na walimwengu yahitaji uvumilivu sana.
Hata wewe mwanajf leo, mtu akimsema mtu ambae wewe ni rafiki au mkaribu wako, huyo mtu kwako ni kikwazo na hafai.
Kuna watu tunawaona wako radhi wakumalize kwasababu yamapenzi yao au itikadi zao. Tunachoona drc, palestine, malawi, wakulima na wamasai, haya yote yanatengenezwa kwasababu ya utofauti wa itikadi za makundi haya.
Bwana malisa awe ametishwa au hajatishwa, tishio lake kubwa ni watu wenye mapenzi na Raisi na CCM.
Ukiwa against ukawapandisha hasira hawa, tena mbaya huwafahamu kabisa. Watakuumiza watakuua, wapo watu hapa Tanzania wako hvo haswa vijana wakisasa hawa.
Wewe endeleza uchawaTulia weweee
Hayo mambo sasa ndio hayafai mtu akitoa mawazo yake anaonekana ni Adui katika Chama !Siku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai kuanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu maisha yake na kuwa yupo katika hatari baada ya kusema ukweli.
Akizungumza na Jambo Tv kuhusu kinachoendelea, Malisa amesema “na niwaambie watanzania wajue tu kwamba nipo kwenye wakati mgumu sana kwa sababu tu nimesimama kusema kweli, tumefika mahali hata watu wanatoa ushauri kwamba afadhali uondoke hata nchini”
Soma pia: Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama
Aidha Dkt. Malisa ameongeza kuwa ameshangazwa sana na hali hiyo ya kufikia kutishiwa hali ya kuwa tu ni kasema ukweli “Tunafika mahali tunasema hivi nchi yetu tupo hapo mahali pa kutishiwa kwa sababu tu unasema kweli. Nakumbuka mwanzoni kuna watu walikuja wakaniambia bana jihadhari” amesema Dkt. Malisa
Aidha amewaomba watanzania kumuombea kwa Mungu kwani anaamini ulinzi wa Mungu utamuwezesha kuivuka hali anayopitia
View attachment 3240687