1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Tukija kugombana na huyo jamaa, hizo Switch zitatugharimu sana, haijalishi sababu za kufunga hizo switch hukoKama nikweli tunatakiwa kupewa maelezo yanayojitosheleza.........then ni hatari sana hasa tukitofautiana na hao jamaa
Huu ni uamuzi wa hovyo kabisa kwakuwa haukuzingatia kuwa Rwanda na Burundi ni mmadui. Ilipaswa kila kitu kiwekwe neutral countryNimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda.
Maana yake ni kwamba Tanzania itakuwa ikizalisha umeme, halafu huo umeme utasafiri hadi Rwanda, halafu Rwanda ndio itakua inawasha hizo Switch ili kuruhusu umeme uje Tanzania.
Je, kuna mantiki yeyote juu ya maamuzi kama haya? , kwahiyo siku tukipandisha ushuru bandarini kwa mizigo inayoenda Rwanda na wao wanatuzimia switch za umeme hadi tushike adabu, na umeme tunauzalisha wenyewe? Sasa nashangaa, Tanzania tulikosa pesa ya kununulia switch hadi kwenda kuomba mchango wa Rwanda na tugawane nao umeme nusu kwa nusu eti?
Mi nadhani kuwe na haja ya kupimana magonjwa ya akili kabla ya kupeana hizi wizara nyeti hasa za Nishati na madini.., video ina maelezo ya ziada
Ukiwa na urafiki na mtu asiyependa urafiki tegemea loloteSijui chochote, plant manager amesema kwa furaha na kujiamini kabisa kuwa switchi zipo Rwanda labda kwa sababu Rwanda ni rafiki zetu
Je, Rwanda akimzimia adui yake mkuu-BurundiNi mradi wa ushirikiano baina ua nchi tatu yaani Tanzania, Rwanda na Burundi na wote wamechangia fedha. Wakizima switch na sisi tunazima mitambo ya kufua umeme...
Hahahahah, hii hatari sana, ndio hapo sasa..Je, Rwanda akimzimia adui yake mkuu-Burundi
Ati kutoka wapi?! πππWewe kwa ufahamu wako unadhani ni waziri gani mwenye mamlaka ya kufanya jambo hilo bila woga kama si ni maagizo kutoka juu jehanmu?
π€£π€£Ni mradi wa ushirikiano baina ua nchi tatu yaani Tanzania, Rwanda na Burundi na wote wamechangia fedha. Wakizima switch na sisi tunazima mitambo ya kufua umeme...
Huo uwiano unanipa mashakaNimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda.
Maana yake ni kwamba Tanzania itakuwa ikizalisha umeme, halafu huo umeme utasafiri hadi Rwanda, halafu Rwanda ndio itakua inawasha hizo Switch ili kuruhusu umeme uje Tanzania.
Je, kuna mantiki yeyote juu ya maamuzi kama haya? , kwahiyo siku tukipandisha ushuru bandarini kwa mizigo inayoenda Rwanda na wao wanatuzimia switch za umeme hadi tushike adabu, na umeme tunauzalisha wenyewe? Sasa nashangaa, Tanzania tulikosa pesa ya kununulia switch hadi kwenda kuomba mchango wa Rwanda na tugawane nao umeme nusu kwa nusu eti?
Mi nadhani kuwe na haja ya kupimana magonjwa ya akili kabla ya kupeana hizi wizara nyeti hasa za Nishati na madini.., video ina maelezo ya ziada
Ndio hapo sasasmart moves kwa tz switch zilitakiwa kuwa nchi dhaifu, ambayo ni burundi, kupeleka switch Rwanda ambaye amejipambanua kama mshindani wako ni hatari kww afya ya uchumi wetu, halag hilo bwawa kama lipo upande wetu kulikuwa na ulazima gani kuchanga?? kwann tusingezalisha then wao tukawauzia hizo 27% kila mmoja?? kama ni mkopo tungeweza kukopa wote sisi, kila kitu tukimiliki sisi then wao wawe wateja tu, chakushare siku zote hakinaga afya, hatujifubzi tu mambo ya tazara na eac??
Anaweza kuwa smart siku R akidhoofikasmart moves kwa tz switch zilitakiwa kuwa nchi dhaifu, ambayo ni burundi
Magufuli ni kilojaAti kutoka wapi?! πππ