mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Kama unaujua vizuri umeme basi icho kitu akiwezekani.Mbona habari imeshathibitika hii, ni kweli bhanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaujua vizuri umeme basi icho kitu akiwezekani.Mbona habari imeshathibitika hii, ni kweli bhanaa
Switch zipo Rwanda, imeshawezekana sasa, na hamna kitu utafanyaKama unaujua vizuri umeme basi icho kitu akiwezekani.
Hivi huo mradi mnajua kweli au mnaropoka tu? Mnajua kwamba huo mradi unamilikiwa na nchi 3? Acheni hizo bwana!Switch zipo Rwanda, imeshawezekana sasa, na hamna kitu utafanya
Kama liko mpakani kwanini Switch zinawekwa Rwanda?🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔
Bwawa liko mpakani, umeme hausafiri
Shida inaanzia hapo , kwanini bwawa letu limilikiwe na nchi tatu?!Hivi huo mradi mnajua kweli au mnaropoka tu? Mnajua kwamba huo mradi unamilikiwa na nchi 3? Acheni hizo bwana!
Yote hayo yalifanywa na huyo mwendazake wenu aka intarahamwe aka mhutu....Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza akaweka switch ya kuwasha gari kwenye buti? Mbona mnapenda kutia watu hasira kiasi hiki?
kamuulize magu na kalemaniWaziri Wa Nishati Yupo Ama KasAfiri
huo mto wa rusumo umepitia rwanda burundi na tz kissha unamwaga maji ziwani wanyarwanda wanazo akili zao atuwezi kuwaburuzaSasa wakituzimia switch kwa ugomvi wa kijinga tu, maana PK ni mtu wa visasi sana, huoni viwanda vinavyotegemea huo umeme hasa vya sukari vitapata shida sana, hiyo si ni sawa na uhujumu uchumi??!
wtz wanadhani hayo maji niyatanzania kumbe sivio huo mto unatoka kwenye mapolomoko ya kongo kisha rwanda kisha burundi atimae ngara unamwaga ziwani ukichunguza tz ndio inayo faidika zaidiFor what I know, huo mradi sio wetu kwa 100% bali Mabeberu ndio wana-finance huo mradi kwa ajili ya Rwanda, Burundi na Tanzania!!
So, mwenye pesa zake ndo kaamua hivyo, HUTAKI, jenga mwenyewe kwa pesa zako... nyie si dona kantri bhana!!! Ukifanya hayo, ndo utaamua kuweka swichi popote pale hata kama kwenye ofisi za Lumumba!!
wako vipi?huo umeme unategemea mto rusumo mto huo unatoka rwanda unapitia burundi kisha tz huo umeme ni wenu vipi?Yani umeme uwe wangu,main switch iwe kwa jirani? ikitokea shot nakurupuka na kukumbilia kwa jirani kumgongea geti, mlinzi nae anipige mkwara kidogo,ndio aende akamuamshe ,akiwa anagegeda inabidi usubiri amalize, wakati huo nyumba imegeuka kuwa tanuri
rwanda na rundi awajachangia chochote?Mkopo ni msaada? Si tunaulipa kwa 100% with intrest? Unavuta bangi kwa makalio? Kwanini mnapenda kutia watu hasira kiasi hiki?
kwani huo mkataba ulisainiwa lini?Wewe kwa ufahamu wako unadhani ni waziri gani mwenye mamlaka ya kufanya jambo hilo bila woga kama si ni maagizo kutoka juu jehanmu?
nimekupata viemaNilichoelewa ni mradi wa kiushirika(tzed, rwanda na burundi) so, kila mmoja ameshirikishwa na kupata nafasi ya kuwa mmoja wa mradi hii ni kwa ajili ya security endapo washirika watakiuka makubaliano.
Nimeelewa mradi ulianza utekelezwaji 2014, lakin kilichonishangaza ni engineer kusifia awamu ya 5.... huu ndo upumbavu uliobakia kufutwa kwe vichwa vya wanaojiita wasomi wa nchi hii... mtu kama yule hachelewi kuchakachua data zozote zenye manufaa kwa anayemuongoza, mtu kama huyu hafai kupewa nafasi ya usimamiz wa mradi km huu kwa sababu ni rahisi hata kufanya hujuma kwa maslahi...
Vinginevyo napongeza uwepo wa mradi na tuutunze kwa msaada wenzetu watakaohudumiwa na mradi.
Sasa si kila mtu ajenge bwawa kwake, shida ipo wapi, kwanini wategemee huruma ya bwawa la Tanzania? maana ingekuwa hivyo then tuambiwe, Tz inamiliki asilimia ngapi ya bwawa la Aswan lililopo Misri?huo mto wa rusumo umepitia rwanda burundi na tz kissha unamwaga maji ziwani wanyarwanda wanazo akili zao atuwezi kuwaburuza