Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Ni kweli wengine Ni kupotezea tuUsihangaike naye huyo halijui Kanisa Katoliki kwa hoja zake wote waliopo kazini walikuwa majobles Kanisa Katoliki huanza kuandaa mapadri tangu kidato cha kwanza kwenye shule zao zinazoitwa seminari ndogo wapo wachache sana wanaopata wito wa upadri ambao hawakupitia seminari ndogo lakini lazima wapitie seminari kusomea falsafa na teolojia upadri haupatikani kwa kujitangaza mwenyewe
Unajua padre huandaliwa toka kidato Cha kwanza?Swala Sio muda mtu anatumia kufikia upadre issue ni kuwa kabla kuwa padre anakuwa jobless anaupata upadre akiwa jobless
Naelewa Katoliki huandaa majobless ya kuanzia kidato cha kwanza Ili baadaye wayape Job ya upadre.Kidato cha Kwanza huwa jobless!!!!Unajua padre huandaliwa toka kidato Cha kwanza?
Kwa hiyo mtoto wa darasa la Saba waweza muita jobless?
"Unaandaa jobless ili umpe job"Naelewa Katoliki huandaa majobless ya kuanzia kidato cha kwanza Ili baadaye wayape Job ya upadre.Kidato cha Kwanza huwa jobless!!!!
Yaaa unamchukua mtoto wa form One asiye na ajira yaani jobless halafu unaanza kumwandaa kwa job ya upadre"Unaandaa jobless ili umpe job"
Tukubaliane kutokbaliana mkuu.
Hivi na mwingira ni askofu wa wapi?Wakati wa JPM huyu hakuwa askofu mkuu wa TAG.
Mwenisongole alikuwa Bank, kitu kama hichoAlikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji
Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect
Mtume Maboya alikuwa Askari
Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk
Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliowaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika
Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji
Hivi unajua jinsi wakatoliki wanavyosomesha watu kbl ya kupewa upadri?Hapo kwente Katoliki sidhani kama ni kweli ulichosema.
Na usifikirii wanachukuliwa wakubwaTaaluma huzipata baada ya kuwa mapadri akishamaliza kupewa upadri ndipo hutakiwa kusomea taaluma nyingine akitaka lakini kuingia upadri huwa ni jobless akishapata job ya upadri ndio hupewa ruksa kusomea taaluma zingine
Ninachoongelea ni huu utaratibu wa kuchukua majobless na kuyapa upadri au uchungaji
Naona unatamani ukristu ufe. Kwamba Kanisa litegemee watu kuacha ajira zao somewhere ndo waende kuwa viongozi wa Kanisa? Wasipoacha kazi je?Katoliki huajiri jobless wanamchukua kijana jobless wanamsomesha upadri halafu wanampa kazi ya upadri
Wako kibao wanasoma seminary za Katoliki majobless
Mapadri wengi unaowaona walkuwa majobless ajira yao ya kwanza ni upadri
AhsantePoleni wafiwa.
Kanisa lake linaitwa EfathaHivi na mwingira ni askofu wa wapi?
Alikuwa kiongoz mkubwa serikali I?Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji
Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect
Mtume Maboya alikuwa Askari
Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk
Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliowaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika
Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji
Kazi nzurii pi?Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji
Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect
Mtume Maboya alikuwa Askari
Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk
Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliowaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika
Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji
Jamaa amewekeza sanaKanisa lake linaitwa Efatha
U-Profesa aliupatia wapi?Alikuwa kiongoz mkubwa serikali I?
Una uhakika
Alikuwa na cheo Gani
Mm nimewajk kunsikia alifanya kazi NBC ndio akaacha
HuuPamoja na mambo yote aliyowahi kuyafanya, huyu Askofu hakuwa muadilifu kwa jamii kwa kipindi chote cha utawala wa Magufuli.
Huyu Askofu, yeye binafsi na kanisa lake la TAG waligeuka kuwa waongo na wanafiki ili kujipendekeza kwa Magufuli. Hawa maaskofu wa TAG na wapentekoste wengine ndio walifikia hatua ya juu ya unafiki ya kumuita na kumpa tuzo ya uadilifu Magufuli!
Wakati watanzania wakiuwawa, wakiteswa, kudhulumiwa na kufanyiwa kila ubaya na utawala wa Magufuli, huyu askofu na wenzake walikuwa kimya au kumimina pongezi kwa Magufuli.
Kwangu binafsi ninapenda kusema huyu Marehemu hakuwa tena na mchango wowote kwa jamii ya watanzania labda kwa dini yake.
Ninatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu, lakini ninasikitika kusema hapa kuwa, Marehemu hakuwa tena na faida yoyote kwetu kijamii, na bora amepumzika.
ujuaji mwingi wewe unasali kwakeHawa maaskofu hawanaga faida, wapiga dili tu sikuwahi kumsikia akihubiri haki
Shida yako unawaza serikali yoyote ikiwa madarakani inafanya yote uyapendayo. UnajichekeweshaPia akawafundisha viongozi wa TAG kuwa wanafiki mbele ya watawala.?
Kiukweli legacy ameiacha.