TANZIA Aliyekuwa Askofu Mkuu wa TAG, Prof. Rainwell Mwenesongole wa Upanga CCC ametwaliwa na Bwana!

Usihangaike naye huyo halijui Kanisa Katoliki kwa hoja zake wote waliopo kazini walikuwa majobles Kanisa Katoliki huanza kuandaa mapadri tangu kidato cha kwanza kwenye shule zao zinazoitwa seminari ndogo wapo wachache sana wanaopata wito wa upadri ambao hawakupitia seminari ndogo lakini lazima wapitie seminari kusomea falsafa na teolojia upadri haupatikani kwa kujitangaza mwenyewe
Ni kweli wengine Ni kupotezea tu
 
Swala Sio muda mtu anatumia kufikia upadre issue ni kuwa kabla kuwa padre anakuwa jobless anaupata upadre akiwa jobless
Unajua padre huandaliwa toka kidato Cha kwanza?

Kwa hiyo mtoto wa darasa la Saba waweza muita jobless?
 
Naelewa Katoliki huandaa majobless ya kuanzia kidato cha kwanza Ili baadaye wayape Job ya upadre.Kidato cha Kwanza huwa jobless!!!!
 
"Unaandaa jobless ili umpe job"

Tukubaliane kutokbaliana mkuu.
 
Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji

Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect

Mtume Maboya alikuwa Askari

Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk

Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliowaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika

Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji
Mwenisongole alikuwa Bank, kitu kama hicho
 
Taaluma huzipata baada ya kuwa mapadri akishamaliza kupewa upadri ndipo hutakiwa kusomea taaluma nyingine akitaka lakini kuingia upadri huwa ni jobless akishapata job ya upadri ndio hupewa ruksa kusomea taaluma zingine

Ninachoongelea ni huu utaratibu wa kuchukua majobless na kuyapa upadri au uchungaji
Na usifikirii wanachukuliwa wakubwa
Huwa kuna secondary za seminary baadae wanachunjwa na kuendelea kwa maandalizi ya upadri
 
Katoliki huajiri jobless wanamchukua kijana jobless wanamsomesha upadri halafu wanampa kazi ya upadri

Wako kibao wanasoma seminary za Katoliki majobless

Mapadri wengi unaowaona walkuwa majobless ajira yao ya kwanza ni upadri
Naona unatamani ukristu ufe. Kwamba Kanisa litegemee watu kuacha ajira zao somewhere ndo waende kuwa viongozi wa Kanisa? Wasipoacha kazi je?
 
Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji

Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect

Mtume Maboya alikuwa Askari

Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk

Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliowaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika

Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji
Alikuwa kiongoz mkubwa serikali I?
Una uhakika
Alikuwa na cheo Gani
Mm nimewajk kunsikia alifanya kazi NBC ndio akaacha
 
Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji

Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect

Mtume Maboya alikuwa Askari

Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk

Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliowaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika

Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji
Kazi nzurii pi?
usalama au?
 
Unajua ulichokiandika wewe, tutolee huu ujinga. Kwanza huyu Askofu hakuwepo madarakani alishasitaafu tangu 2008 unasemaje alitoa zawadi kwa Magufuli ushahidi unao juu ya huyu Marehemu alikuwa yeye ndo Askofu wakati huo?
Pamoja na mambo yote aliyowahi kuyafanya, huyu Askofu hakuwa muadilifu kwa jamii kwa kipindi chote cha utawala wa Magufuli.

Huyu Askofu, yeye binafsi na kanisa lake la TAG waligeuka kuwa waongo na wanafiki ili kujipendekeza kwa Magufuli. Hawa maaskofu wa TAG na wapentekoste wengine ndio walifikia hatua ya juu ya unafiki ya kumuita na kumpa tuzo ya uadilifu Magufuli!

Wakati watanzania wakiuwawa, wakiteswa, kudhulumiwa na kufanyiwa kila ubaya na utawala wa Magufuli, huyu askofu na wenzake walikuwa kimya au kumimina pongezi kwa Magufuli.

Kwangu binafsi ninapenda kusema huyu Marehemu hakuwa tena na mchango wowote kwa jamii ya watanzania labda kwa dini yake.

Ninatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu, lakini ninasikitika kusema hapa kuwa, Marehemu hakuwa tena na faida yoyote kwetu kijamii, na bora amepumzika.
Huu
 
Back
Top Bottom