Mkuu ebu tazama vidole vyako utagundua kuwa havilingani kabisa .Hii Corona sasa sijui, tutazika mpaka lini? mwenzio akinyolewa zako tia maji, sio kutoa pole tu huku kwenye mitandao kama vile Corona haituhusu, huu ni wakati wa kumrudia muumba wetu serious.
Lakini utashangaa leo jmosi watu wanaenda disko hawana barakoa!.
ni ngumu kwa jiwe kuuSiku Jiwe likipata corona akili itamkaa sawa
R I P Money
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii kila sehemu ambapo kichapo kikali kinatembea mpaka mastar wanajuta kuanzisha vita na kudharau maadui!! Ukute ile ambayo Maadaui ni Mashehe wenye Ak47[emoji114][emoji114][emoji114][emoji114] chuma zinazotembea humo ndani utaita chopper tu...Movie gani hii mkúu?...Maneno yanasound kama ya Jack Bauer wa 24hrs Series
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa wazee imebdi wafunge midomo tuu mamaee...khaa kirusi hakifai magu sijui kama hatashuka nao hawa yani. Sababu mtu mwenye akili akikwambia kitu cha Kipumbavu ukakikubali Anakudharau sana yani.Eeeh[emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 1707190
wabongo mnaakili ndogo za kipuuzi kweli kweli,kila kifo ni Corona?Lo lo lo!!
Likwelile kaondoka?
Jamani corona nomaa!!
Haya mambo tuyaache yalivyo! Waliachana na mke wake wa kwanza kwa vile alipata ngwengwe! Sasa ametangulia kabla yake. RIP mateVicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu katika Wizara ya Fedha na Mipango kama Katibu Mkuu kabla ya uteuzi wake kutenguliwa mwaka 2016.
Pia soma
- Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile
I repeat another Man down...please send a chopper...!!
Akili za kifirauniDuuu
Hili SHUWA limeondoka? Ila hata hivyo limekula Sana maisha hata akiondoka poa tu
atakuwa wapi mkuu! yy si ndo mfiwa ?? obvious atakuwa msibani .Kwahiyo huyo Vicky yupo wapi au yupo Aghakan?
Rodger that...we are overwhelmed i repeat we are outnumbered please make it ASAP mfck!Copy that...
Nimekusoma mkuuatakuwa wapi mkuu! yy si ndo mfiwa ?? obvious atakuwa msibani .
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
oohoo.mshaanza kuchuliana tena.Inawezekana alitaka aondoke yeye
ila hajafa kwa corona ni presha si unaona shavu dodo iloWazee tunaisha.......moyo unaenda mbio kwa uoga.....nikiiwazia tu corona najihisi pumzi inakata muda wowote.......
Liwalo na liwe......
Wababa wabishi hawavai barakoa kama wa mama. Wababa wana mishe nyingi town kuliko wamama. Mixer kupiga vyombo bar. Akiumwa anaenda hospital too late.Ni wachache kulingana na wababa
Leo ishi na hiiila hajafa kwa corona ni presha si unaona shavu dodo ilo
Pambana sasa kuyajaliSisi siyo wanyama. Binadamu ni wastaarabu. Binadamu tuna akili. Binadamu tujajali maisha ya wengine.
Nina hakika wewe UNA MATATIZO YA AKILI! Hivi kwako kila kifo - chanzo na sababu yake ni Corona? Kweli? Au na wewe ni kati ya wale waj**** wachache mnaolipwa vijisenti kuropokaropoka mambo ya upuuzi humu JF?Lo lo lo!!
Likwelile kaondoka?
Jamani corona nomaa!!