TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

Watu wanaojiunga na Ma-FreeMason ni Matajirina wafanya biashara wakubwa Duniani sio chama cha mchezo kujiunga nacho. huku nilipo Ughaibuni kuna baadhi ya marafiki zangu ni matajiri wamo kwenye Chama hicho cha FreeMason wananijaribu kunishawishi nijiunge ili wapate kunisaidia niwe mtu Maarufu duniani katika kutibu Dawa za asili ninawakatalia kwani masharti yao ni magumu ukifanya makosa wanakuuwa mimi siwezi masharti ya kishetani.
 
Ndio unaingia sasahivi Jf mkuu?

Hii habari ilishaletwa humu na intrend.
 
Ask one to be one.
 
Inakuwaje Utajiri Wake Uko Hvyo?Au Nini Faida Ya Kuwa Freemason
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mkuu taja baadhi ya masharti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…