ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Hata kama akirithishwa, ile nguvu waliyo kuwa nayo zama zile imesha ondoka milele!Kuna atakaye mrithi tu.ila nahisi atakuwa mswahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama akirithishwa, ile nguvu waliyo kuwa nayo zama zile imesha ondoka milele!Kuna atakaye mrithi tu.ila nahisi atakuwa mswahili.
Sasa freemason nikajua wanauwezo wa kuzuia kifo kumbe holaa.
Yesu wangu anatosha kabisa nijapo kufa sitajutia.
Hebu angalia handshake za viongozi duniani ndio utajua ukubwa wa mtandao huu,angalia kwa kutumia jicho la tatu isis my dear,Hata kama akirithishwa, ile nguvu waliyo kuwa nayo zama zile imesha ondoka milele!
Kwa hizi comments, wafia dini akili uwezo mdogo.
The End
Kama dini zingekuwa kama siasa au pombe kwamba mtu haruhusiwi kujihusisha nazo hadi afikishe miaka 18, hiki kizazi chetu kisingezikuta hizi dini.Hata kwenye kufia dini hawapo.
Wamekariri tu badala ya kuelewa.
Lakini mkuu ili jina chande limekaa kiswahili zaidi? Kwaiyo sir Andy chande shaaban Robert pekee yake ndio ilikuwa inamuingizia pesa?RIP Jayantilal Keshavji Chande! At last uko na Rajani!
Nimeziona, lakini kama nilivyo sema hawana tena nguvu, power walizokuwa nazo, zimehamia mahali pengine, ufalme umeondoka na umerithishwa mtu mwingine ambaye sio Freemasonry....hiyo ndiyo nguvu ya Creator, ambayo binadamu hawezi kushindana nayo ikiamua kuhama! Believe me hawana tena nguvu!Hebu angalia handshake za viongozi duniani ndio utajua ukubwa wa mtandao huu,angalia kwa kutumia jicho la tatu isis my dear,
Walikuwa na nguvu enzi hizoWajenz huru
Nimeziona, lakini kama nilivyo sema hawana tena nguvu, power walizokuwa nazo, zimehamia mahali pengine, ufalme umeondoka na umerithishwa mtu mwingine ambaye sio Freemasonry....hiyo ndiyo nguvu ya Creator, ambayo binadamu hawezi kushindana nayo ikiamua kuhama! Believe me hawana tena nguvu!
Mungu ndio nguvu kuu sikatai hata kidogo,ila hawa jamaa wako radhi hata waanzishe nuclear war ili wabaki kwenye power,nina maanisha wao na magenge yao.Walikuwa na nguvu enzi hizo
Nope! Kiwanda cha pepsi kilikuwa chako, na ana shares kubwa Tigo ana maduka ya madawa, ujanja mwingi! Yeye na Ladwa ni mtu na mkwe wake! Owner wa Golden Tulip, ndiyo walikuwa wamejipanga kujenga hotel nyingine pembeni yake, mh Lukuvi akawapiga stop! Kibali cha kujenga kilitolewa na awamu ya nne! Mola anaipenda sana sana nchi yetu walahiLakini mkuu ili jina chande limekaa kiswahili zaidi? Kwaiyo sir Andy chande shaaban Robert pekee yake ndio ilikuwa inamuingizia pesa?
Aendee wap mama?nenda baba
Mkuuu aaasha ha ha watu wamekushambulia utadhani ulikuwa secretary wa marehemu!
Mwenye Enzi Mungu akiwa Almighty Creator of The Universe huwa ana cheza na mind zao na huwa anawasambaratisha atakavyo yeye! Huwa anawapiga na Spirit ya Confusion, kama alivyo fanya kwa Mfalme Sauli na wababiloni.....kama alivyo vunja urafiki wa Rostam, Edward na Jakaya....Mwenye Enzi Mungu si wa mchezo, mbinu anazo tumia hakuna human beings anaweza ku imagine!Mungu ndio nguvu kuu sikatai hata kidogo,ila hawa jamaa wako radhi hata waanzishe nuclear war ili wabaki kwenye power,nina maanisha wao na magenge yao.
Kama lipi mkuu?R.I.P sir Andy chande,binafsi ninalo la kukumbuka
Ebu andika.kwa kuswahili mkuuDeath is for everyone Even your Prophets Die, No any living things will escape the Death, We still seek out how to eliminate Death at all, we know this is a problem, Scientist we are in progress to figure it out