TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

Sasa freemason nikajua wanauwezo wa kuzuia kifo kumbe holaa.

Yesu wangu anatosha kabisa nijapo kufa sitajutia.

Kwani hata ulivyosoma hayo maelezo wameandikaFreemasons wanazuia kifo?
 
Hata kama akirithishwa, ile nguvu waliyo kuwa nayo zama zile imesha ondoka milele!
Hebu angalia handshake za viongozi duniani ndio utajua ukubwa wa mtandao huu,angalia kwa kutumia jicho la tatu isis my dear,
 
dollar-bill-pyramid-13347062.jpg
 
Hata kwenye kufia dini hawapo.
Wamekariri tu badala ya kuelewa.
Kama dini zingekuwa kama siasa au pombe kwamba mtu haruhusiwi kujihusisha nazo hadi afikishe miaka 18, hiki kizazi chetu kisingezikuta hizi dini.

Hakuna mtu mwenye akili iliyokomaa ambaye angepoteza muda na pesa kwa ajili ya vitu visivyo na mantiki........Ingekuwa vigumu sana kumdanganya mtu mzima kwamba dunia yote pamoja na watu wa rangi zote ni matokeo ya familia ya watu wawili miaka chini ya 10000 iliyopita.

Watu wanakumbatia dini sababu walizifundishwa tangu utotoni tena kwa vitisho vya kwenda motoni milele kama wataacha hizo dini.
 
RIP Jayantilal Keshavji Chande! At last uko na Rajani!
Lakini mkuu ili jina chande limekaa kiswahili zaidi? Kwaiyo sir Andy chande shaaban Robert pekee yake ndio ilikuwa inamuingizia pesa?
 
Hebu angalia handshake za viongozi duniani ndio utajua ukubwa wa mtandao huu,angalia kwa kutumia jicho la tatu isis my dear,
Nimeziona, lakini kama nilivyo sema hawana tena nguvu, power walizokuwa nazo, zimehamia mahali pengine, ufalme umeondoka na umerithishwa mtu mwingine ambaye sio Freemasonry....hiyo ndiyo nguvu ya Creator, ambayo binadamu hawezi kushindana nayo ikiamua kuhama! Believe me hawana tena nguvu!
 
Great Thinkers wamebaki wachache mno humu Jf.
Wasoma udaku ndio wanajaza comments basi hata cha kujifunza au kuleta changamoto humu hakuna tena.
 
Nimeziona, lakini kama nilivyo sema hawana tena nguvu, power walizokuwa nazo, zimehamia mahali pengine, ufalme umeondoka na umerithishwa mtu mwingine ambaye sio Freemasonry....hiyo ndiyo nguvu ya Creator, ambayo binadamu hawezi kushindana nayo ikiamua kuhama! Believe me hawana tena nguvu!
Walikuwa na nguvu enzi hizo
Mungu ndio nguvu kuu sikatai hata kidogo,ila hawa jamaa wako radhi hata waanzishe nuclear war ili wabaki kwenye power,nina maanisha wao na magenge yao.
 
Lakini mkuu ili jina chande limekaa kiswahili zaidi? Kwaiyo sir Andy chande shaaban Robert pekee yake ndio ilikuwa inamuingizia pesa?
Nope! Kiwanda cha pepsi kilikuwa chako, na ana shares kubwa Tigo ana maduka ya madawa, ujanja mwingi! Yeye na Ladwa ni mtu na mkwe wake! Owner wa Golden Tulip, ndiyo walikuwa wamejipanga kujenga hotel nyingine pembeni yake, mh Lukuvi akawapiga stop! Kibali cha kujenga kilitolewa na awamu ya nne! Mola anaipenda sana sana nchi yetu walahi
 
Mungu ndio nguvu kuu sikatai hata kidogo,ila hawa jamaa wako radhi hata waanzishe nuclear war ili wabaki kwenye power,nina maanisha wao na magenge yao.
Mwenye Enzi Mungu akiwa Almighty Creator of The Universe huwa ana cheza na mind zao na huwa anawasambaratisha atakavyo yeye! Huwa anawapiga na Spirit ya Confusion, kama alivyo fanya kwa Mfalme Sauli na wababiloni.....kama alivyo vunja urafiki wa Rostam, Edward na Jakaya....Mwenye Enzi Mungu si wa mchezo, mbinu anazo tumia hakuna human beings anaweza ku imagine!
 
Death is for everyone Even your Prophets Die, No any living things will escape the Death, We still seek out how to eliminate Death at all, we know this is a problem, Scientist we are in progress to figure it out
Ebu andika.kwa kuswahili mkuu
 
Back
Top Bottom