TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

Ninakumbuka hawa wazee kwenye moja ya mabaraza ya uwaziri awamu ya kwanza
wizara ya afya - Aaron Chiduo
" fedha- Amir Jamal
" elimu- Mama Thabita Siwale
" kilimo- Jackson Makweta

Kama unakumbuka hii mkuu, basi wewe upo above 40 yrs. Hongera sana.
 
Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu Tanzania, Joseph Mungai amefariki dunia jioni hii, taarifa za awali kwa mujibu wa kituo cha television cha ITV zinasema amekutwa na umauti baada ya kuanza kutapika mfululizo, familia imedia kuwa tatizo hilo limemkuta baada ya kudaiwa kula kitu kibaya.
 
WEWE UNA TENDA MEMA??????? Tatzo lenu kila kitu mnageuza sisa as if HAO VIONGOZI WENU WAO WATALIONA PEPO....
huo ulikuwa mtazamo wa jamaa kuwa yatypasa kutenda mema hata tuwapo na vyeo! mtenda mema Mungu pia humuingezea siku za kuishi
 
Duh sasa sijui tuanze na yupi??
 
Duh!!kama alishiriki kutunga sheria kandamizi za elim ndo sheria hizo zinakiendea kizazi chake kwa kasi
yote uja yote uondoka
mtu uja mtu uondoka R.P Mungai
 
Mtakatifu Mtakatifu Mungu wa Majeshi analo kusudi kuruhusu kila jambo linalotokea duniani.
Yatupasa kukumbuka kuyatenda,kuyanena na kuyawaza yalio mapenzi yake..Yenye utukufu kwake,yenye heshima kwake ,yenye sifa kwake pekee.

Kila Nafsi itaonja mauti na duniani wote tu wapitaji na Mwenyezi Mungu anayo makusudi makuu ya kutufanya tuishi kwa kiwango tutakacho ishi.Ndugu zangu Tusiache kutubu {Toba} kila wakati kwa maana hatujui siku wala saa tutakayokutana na umauti.Haijarishi tunajulikana kiasi gani,haijarishi tuna vyeo vya namna gani,haijarishi tuna mapesa kiasi gani,haijarishi tuna elimu ya mapana gani,Haijarishi tu maarufu kwa kiwango gani..

Utu,wema,unyenyekevu,Ustahimilivu,Sadaka,Dhaka,Kusamehe,Upendo viwe nguzo ktk maisha yetu ya kila sekunde,dakika,saa,siku,wiki,mwezi,mwaka,miaka...
 
Aliua sports mashuleni huyu,sijui ni kitu gani amekula?apumzike kwa amani
 
Likitoka kwa wazee unajua litaanza kwa akina nani mkuu?
 
Ni random selection isipokuwa kifo kime-select wanaojulikana
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kila kifo kuhusisha na siasa... Ktk ukoo wenu wote waliokufa walikuwa wanarudisha nyuma maendeleo ya taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…