TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia


Tuwasamehe jamani wenzetu
 

Wawe??? Labda ungesema muwe
 

Unaposema wazee wapumzike wakumbuke kuwa maisha yana mwisho...unawapa ushauri waliokufa?
 


Sina hakika kama unaelewa ulichoandika hapa...nakupa pole, hujui usemalo wala utendalo....
 
Tunashukuru kwa mema yote aliyotufanyia watanzania ,kwa mabaya aliyotufanyia tunamsamehe maana hatunaye tena hata tukiyashupalia hasikii wala hatuoni.poleni wafiwa.Mungu amuweke panapomstahili
......Mufindi yeetu...Malangali inalia..Nyololo inasikitika.. Poleeee. Poleeeee. Chai Bora inalia. RIP Joseee. Salamu kwa Nyerere. Msalimie Sam 6....Wasalimie Jumbe na Kambona. Msaliie Rafikiyo Prof. Nicholaus Bangu.. Mpe Hi Daudi balaa Ali.
 
Mwinyi MWINYI Mwinyi HATA MILELE !!!!!!!
 
Kuacha ujinga ni maamuzi tu. Hata wewe ukiamua unaweza..
 
huo ulikuwa mtazamo wa jamaa kuwa yatypasa kutenda mema hata tuwapo na vyeo! mtenda mema Mungu pia humuingezea siku za kuishi

Unasema mtenda wema anaongezewa siku za kuishi. Ni ngapi hizo?
 
POLENI SANA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…