Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Sumaye amepewa uenyekiti wa Chadema halafu mara paaap kaunga mkono juhudi kama alivofanya, hapo kunakua na Chama au uhuni?

Sumaye yeye uwezo wake wa kuongoza ulikua unaishia kua mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani tu, Uenyekiti wa Taifa hakua na uwezo nao.
 
Secret mission kumfanyia ujasusi membe katika harakati zake za kuitaka ikulu.
.anaenda kama pandikizi LA jiwe kule uzalendoni.
 
ITATEGEMEA NIMEAMKAJE-Mwenyekiti CCM Taifa.
 
Ccm mlikua mnasema Dr. Slaa anatembea kama amejinyea lkn leo amekua mpiganaji.
Sijawai kuwa CCM mimi nilikuwa naikubali CHADEMA sana enzi za akina Slaa ni chadema iliyokuwa inaniaminisa kuwa kuna mabadiliko ya kweli yanakuja. Baada ya hapo nikaja kuundua kuwa vyama vyote sawa tu tofauti yake CCM ni chama tawala na vilivyobaki vinajulikana kama pinzani
 
Tafuta mapya tuhuma za aina zitakufanya ukosane bure, na yesu wa Burigi
 
Choo kilitolewa chooni kikaletwa sebuleni-Dr. Slaa 2015

Sasa hivi Slaa mwenyewe sijui yuko Chooni au Sebuleni?
 
Choo kilitolewa chooni kikaletwa sebuleni-Dr. Slaa 2015

Sasa hivi Slaa mwenyewe sijui yuko Chooni au Sebuleni?
Alisema kaachana na siasa ndiyo maana hujamsikia akigombea. Yes kwa kiasi fulani alikuwa sawa maana choo baada ya kutapakaza harufu kikarudi chooni na kuflashiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…