Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Mkuu kule hawaendi kuhubiri injili, ni siasa tu.Wanahamia wa dini moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kule hawaendi kuhubiri injili, ni siasa tu.Wanahamia wa dini moja tu
Ndio siasa mkuu.
Think about investing on it
Pia Chadema imeongeza idadi ya wanachama kutoka million 6 mpaka million10 kupitia utaratibu mpya wa online registration.Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Na bado kuna waliokuwa wabunge Chadema kama nane wanahama kesho.
CCM mlikua mnasema Dr. Slaa anatembea kama amejinyea lkn leo amekua mpiganaji.Siku mkija kwuaelewa watu kama Kubenea, Dr Slaa, Zitto, na wapianaji wengine itakuwa too late
Labda wavuta bangi na wanywa konyagi.Pia chadema imeongeza idadi ya wanachama kutoka million 6 mpaka million10 kupitia utaratibu mpya wa online registration
Kama mlijua ,kwa nini hakujitahidi kumshawishi asiondoke?Tuliyajua haya kuwa yanakuja.
Membe vipi? MkuuSiku mkija kwuaelewa watu kama Kubenea, Dr Slaa, Zitto, na wapianaji wengine itakuwa too late
Ameogopa kumfata Mbatia kule apostoliko!Tuliyajua haya kuwa yanakuja.
Yah ndio wanyonge hao na wapiga kuraLabda wavuta bangi na wanywa konyagi.
Hapana mkuu, nimeona hii khabari muda sio mrefu so nimeamua kuuliza, nothing more mkuu.Umetumwa eh?
Lakini mbona wakubwa wenzio huko bado wanaiogopa mno CHADEMA na hasa mahitaji ya uwepo wa TUME HURU?Tatizo ni kwamba upinzani ushavurugika na hawana coordination. Utopolo mwanzo mwisho.
Apana , unakosea kabisa, mbona haumujitahidi kusema ukweli. Chadema kinapoteza mueleko kwa sababu ya kiongozi mkuu MBOWE na Genge lake. Hawa ni madkteta, Wakabila, wakanda, wamimi.Soon atakuwa CCM huyu, ACT kaenda kwa kazi maalumu ya ku-monitor mikakati ya Membe dhdi ya serikali. ACT kuweni makini jifunzeni kwa Chadema kuingiza masalia mpaka chumbani hasa kipindi hiki ni hatar kwa usalama wa chama chenu.