Tashacobbs
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 572
- 1,559
Yaani ni mpumbavu kuliko hata mbooo yangu maana nadhani inajiheshimu kuliko yyMi mwanamke na pengine sina akili sana ila huyu mwenzangu kama darasani basi mwisho yani kilaza🤣🤣🤣🤣🤣
Na hao walompa ubalozi kama wamempa ela nawahurumia sana mana hamna kitu hapo!
Tatizo na haya Mambo nayo yana waoigaji na udalali sana....Mr.Kuku kapiga sana watz kwa miradi kama hii ya kwenu.Ukitaka mali utaipata shambani.
vijana changamkieni fursa ya kilimo iliyo tangazwa na Waziri Bashe, kilimo biashara ndio kitakacho tukomboa kiuchumi jisajili sasa kupitia mradi wa BBT.
achaneni na huu upuuzi wa mtu mmoja.
Uelewa wako uko vipi!?..shule ilikupiga chenga!?..huo ni mradi wa serikali...tatizo kutwa kufuatilia ya kijinga,Simba,yanga,mafuta mwamposaTatizo na haya Mambo nayo yana waoigaji na udalali sana....Mr.Kuku kapiga sana watz kwa miradi kama hii ya kwenu.
Mshaambiwa,huyo mwanamke amewa inspire wengi [emoji1]Mi mwanamke na pengine sina akili sana ila huyu mwenzangu kama darasani basi mwisho yani kilaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hao walompa ubalozi kama wamempa ela nawahurumia sana mana hamna kitu hapo!
Kama kuwa inspired basi inabidi iwe kupitia huyu nadhani sihitaji kuwa inspired,nimeamua kuishi kivyangu tu hakuna namna🤣🤣🤣Mshaambiwa,huyo mwanamke amewa inspire wengi [emoji1]
Bongo bana ....kweli mikosi
Ova
Kwa mtazamo wangu Rushy amejibu ipasavyo kulingana na maswali aliyo ulizwa
Usiombee ukutane na manipulator person tena awe mwanamke, dah kile ni kipaji cha hali ya juu aisee[emoji119]Nami nmeliona Hilo,
Shes manipulative woman,
Manara tayar alilshajaa kwny mfumo wake ndo maana sarakasi kibao za kuzimia[emoji2960]
Kama mie sikusikia kabisa🥲 ningechukua mkopo jamaniTangazo la BBT,halikuwafikia watu wengi hasa vijijini,halafu muda ukawa mfupi wa kuomba,hakika vijana hawajatendewa haki.Anyway ngoja wapate walioomba.
Nadhani mwisho ilikua tarehe 30,lakini halmashauri nyingi zilikua kimya.
Umewaza sahii mkuu,afu kabila moja[emoji1787]Huyu Rushyna hawana tofauti na mchepuko waki[emoji1787][emoji1787]
Huyu mchezo ndo anaucheza mamaj, Kila mara lazima tuzinguaneUsiombee ukutane na manipulator person tena awe mwanamke, dah kile ni kipaji cha hali ya juu aisee[emoji119]
Huchomoki kirahisi na wanahakikisha wamekunyonya hadi unakaukiwa damu, wanaweza kua na mipango ya muda mrefu au muda mfupi pale tu ukiwa huna matumizi tena,
Manara aliyavagaa tena si alikua msaidizi wake huyo basi alijua kumvuta akajaa, ile kauli ya "Kwani Manara ana Hela!?, anazo za kawaida tu" ndio inadhihirisha alipoona hana matumizi nae akamtema kikatili.
I wish kungekua na kozi yao ningeenda kusomea [emoji2960][emoji38][emoji38]
Aliolewa Kwa mission maalum,Usiombee ukutane na manipulator person tena awe mwanamke, dah kile ni kipaji cha hali ya juu aisee[emoji119]
Huchomoki kirahisi na wanahakikisha wamekunyonya hadi unakaukiwa damu, wanaweza kua na mipango ya muda mrefu au muda mfupi pale tu ukiwa huna matumizi tena,
Manara aliyavagaa tena si alikua msaidizi wake huyo basi alijua kumvuta akajaa, ile kauli ya "Kwani Manara ana Hela!?, anazo za kawaida tu" ndio inadhihirisha alipoona hana matumizi nae akamtema kikatili.
I wish kungekua na kozi yao ningeenda kusomea [emoji2960][emoji38][emoji38]
Hadi nime mpendaa bureee yaan.Kabisa sana!
Nashangaa wanao msema vibaya wanamsema kwa sababu gani?!
Mimi mwenyewe nilishangaa watu walivyo kuwa wakisema Manara ana hela, [emoji848] Ana hela gani ? Mbona yuko kwenye kawaida tu?!
Dada wa watu kaongea ukweli mtupu [emoji848]
Amejibu maswali yote honestly kwa ufasaha.
Uelewa wako uko vipi!?..shule ilikupiga chenga!?..huo ni mradi wa serikali...tatizo kutwa kufuatilia ya kijinga,Simba,yanga,mafuta mwamposa
Sio mchezo.Hata wanaume pia ,kulibeba hilo ZERO BRAIN Rushaina siyo mchezo.