Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Juzi had I anajilegeza kabisa nimekaza na si kawaida yangu mpaka anashangaa
Basi kama SI kawaida yako ngoja nikaongee kdg na mahondaw akampe semina elekezi mkeo akupatie namna gani uingie kwenye laini[emoji4]

Huenda akiwa serious kidg wee unalegeza[emoji4]

HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msamehe tu kwa maslahi mapana ya watoto wenu.

Ni kawaida sana wazazi kuachana tena kwa nyodo na kashfa, ila baada ya muda utakuta wanarudiana.

Mara nyingi, Tukio la kuachana kwa wazazi huwa linakujaga kujirudia kwenye maisha ya watoto, nao wanapokuja kuoa/ kuolewa - wanapogombana kidogo tu wanachofikiria ni kuachana. Hivyo msingi wa kuachana kwenu chanzo chake ni maamuzi ya wazazi wenu, au mwanandoa mmoja hakuwahi kulelewa na uwepo wa Baba na Mama kwenye makuzi yake.
 
😂😂😂😂🤣🤣🤣 ..Naamiini akimkazia atamsamehe tu sema kuja kuchomoka huko kwa chuchukonzi sasa ndo anahitaji maombi kama ambavo wewe unahitaji maombi kwayule kiviruge wako!😜
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ..Naamiini akimkazia atamsamehe tu sema kuja kuchomoka huko kwa chuchukonzi sasa ndo anahitaji maombi kama ambavo wewe unahitaji maombi kwayule kiviruge wako![emoji12]
Mi hata msiniombee Tena Ayo maombi yenu ya kuachana,

Muombeenj TU uyu kivuruge abadilike roho wa mungu amuingie abadilike atulie awe Kama wanawake wengine

Kiukweli nisharidhika kabisa na Uyu uyu kivuruge wangu, kila kukicha tunazidi tu kupeana mautamu yetu[emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukampa muda.wa kuongea naye.kabisa? Una moyo
 
Aiseeehhh jemedari fanya kunikutanisha nae anipe training nahitaji kumchanganya na kummaliza Kabisa mtu fulani asee!😜🙃
 
hii iko pande zote, hata kwa "Ke" ukiachana na mume aliyekuwa anakunyanyasa halafu mambo yake yasiende alivyokuwa anategemea tunafurahia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…