Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Pole sana mkuu, apumzike kwa amani mama Agness
 
Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.

Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi juu ya haya matukio yanayonitokea kuhusu mama Agness maana yamefuatana sana.

Dunia dunia dunia ni sehemu mbaya sana kwangu.

Raha ya milele umpe ewe bwana.....

Pumzika kwa amani mama Agness.
Pole sana mkuu. Ila unaposema wamepata ajali na jamaa yake unamaanisha nini haswa?
 
Huyu jamaaa anatuchezea akili, alituambia huyu mwanamke amemuacha, hata mwezi haujisha amekuja kuolewa na jirani yake wanaokaa mtaa mmoja yaai mama agnesi ameolewa na jirani yake , sasa leo amesema amekufa
 
Pole kwa msiba

LAKINI: Mzee unapata msiba kama huo then unapata na wapi nguvu ya kuandika JF. Alafu unasema dunia dunia ni mbaya kwako as if umeumia sana.
We huoni jamaa lililokuwa linamgonga ex wake amekufa naye?
Rees between the lines
 
Wewe unatutania unapataje mda wa kupandisha Uzi kwa habari kama iyo
Huyo mama Agnes waneachana kwa talaka juzi,leo kapata ajali na jamaa yake (yaani aliemnyang'anya huyo mke). Kesho atasema Agnes. Anatupeleka chaka huyu
 
Nikiconsider namna watu wanavyopenda spotlight hizi stori ni za uongo.

Ikatokea kuna hadithi online;
  • Story teller ndiye mhusika mkuu.
  • Matukio yasiyo ya kawaida.
  • Muendelezo kila baada ya muda.
  • Abrupt wrap up of a story.
  • Story teller wins.

Hizi ni red flags za stori ya kutunga. Now am not saying hizi stori alizozileta ni za uongo ila kama tutakaribishwa msibani na iwe hivyo.

Watu ndiyo maana mnatapeliwa daily. Juzi kuna sister anasema alitapeliwa na mjasiriamali wa JF. Siku kadhaa mbele mjasiriamali analeta uzi kudai amefiwa, na watu wakakimbilia kumpa pole wamesahau jamaa kashampiga mtu pesa yake.
 
Kama kweli nawapa pole sana wakina Agnes ambao ni watoto wadogo watammiss sana mama yao.
 
Nikiconsider namna watu wanavyopenda spotlight hizi stori ni za uongo.

Ikatokea kuna hadithi online;
  • Story teller ndiye mhusika mkuu.
  • Matukio yasiyo ya kawaida.
  • Muendelezo kila baada ya muda.
  • Abrupt wrap up of a story.
  • Story teller wins.

Hizi ni red flags za stori ya kutunga. Now am not saying hizi stori alizozileta ni za uongo ila kama tutakaribishwa msibani na iwe hivyo.

Watu ndiyo maana mnatapeliwa daily. Juzi kuna sister anasema alitapeliwa na mjasiriamali wa JF. Siku kadhaa mbele mjasiriamali analeta uzi kudai amefiwa, na watu wakakimbilia kumpa pole wamesahau jamaa kashampiga mtu pesa yake.
Hahahaha hii inaitwa "funika kombe mwanaharamu apite."
 
Mkuu Kama Nakuelewa Vile...
 
Sijui ni mimi tu, ila binafsi hadithi za bwana huyu zimeshagoma kabisa kuniingia akilini. Muongo muongo mno mtu huyu
 
Back
Top Bottom