Panzi ndiye aliyeniambiaAliyekwambia panzi atazaa nyuki ni nani ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panzi ndiye aliyeniambiaAliyekwambia panzi atazaa nyuki ni nani ....
Tayari kaingia mitini baada ya wadau kumshtukiaSijui ni mimi tu, ila binafsi hadithi za bwana huyu zimeshagoma kabisa kuniingia akilini. Muongo muongo mno mtu huyu
Pole sana ndugu.Apumzike kwa amani.. juzi nilipata ajali... Nastuka hospitali kila kitu nnacho kasoro fedha 270,000. Kikubwa uhai. Apumzike kwa amani
Dah jamaa alituweza sanaAliyepewa 7800
Pole sana Magallah RNimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.
Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi juu ya haya matukio yanayonitokea kuhusu mama Agness maana yamefuatana sana.
Dunia dunia dunia ni sehemu mbaya sana kwangu.
Raha ya milele umpe ewe bwana.....
Pumzika kwa amani mama Agness.
Hahahaa Hiyo ya mwanza inasemaje?Ila MAGALLAH R kwa hadithi za uongo unazotaka kutuaminisha kuwa ni ukweli hujambo.. Mimi uliniingiza chaka maramoja tu ile story yako na yule mdada wa Mwanza .. Kumbe ulikuwa wewe mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwenye ".... na jamaa yake" ndo panampa nguvu ya kuingia jf wakati huu wa "majonzi".Pole kwa msiba
LAKINI: Mzee unapata msiba kama huo then unapata na wapi nguvu ya kuandika JF. Alafu unasema dunia dunia ni mbaya kwako as if umeumia sana.