Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Sijui ni mimi tu, ila binafsi hadithi za bwana huyu zimeshagoma kabisa kuniingia akilini. Muongo muongo mno mtu huyu
Tayari kaingia mitini baada ya wadau kumshtukia
 
Pole sana mkuu,kila jambo linalotokea hapa duniani lina sababu zake,endelea kumtukuza Mungu kwani yeye ndio muweza wa yote...
 
Pole sana Magallah R
 
NAANZA KUPATA MASHAKA NA STORY ZA HUYU JAMAA YANI NI UONGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
unatengeneza mazingira wadada wakuhurumie siyo?
 
pole sana kwa kuondokewa na ex-wife na mume mwenza ...
 
pole sana kwa kuondokewa na ex-wife na mume mwenza ...
 
Ila usije ukawa umewaroga mkuu

Pole sana kaka, wapumzike kwa amani aisee
 
pole sana kwa kuondokewa na ex-wife na mume mwenza ...
 
Unaposema "na jamaa yake" maana yake ni mume mwenza wako. Na kwa namna ingine umefurahi kiaina. Inawezekana hata alikuacha akakimbilia kwa huyo jamaa yake aliekufa nae. Kiasi flani you are relieved
 
Ila MAGALLAH R kwa hadithi za uongo unazotaka kutuaminisha kuwa ni ukweli hujambo.. Mimi uliniingiza chaka maramoja tu ile story yako na yule mdada wa Mwanza .. Kumbe ulikuwa wewe mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa Hiyo ya mwanza inasemaje?
 
Pole kwa msiba

LAKINI: Mzee unapata msiba kama huo then unapata na wapi nguvu ya kuandika JF. Alafu unasema dunia dunia ni mbaya kwako as if umeumia sana.
Hapo kwenye ".... na jamaa yake" ndo panampa nguvu ya kuingia jf wakati huu wa "majonzi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…