Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
We ulishawahi kuumia? Au maumivu ya msiba unayajua? Acha maigizoUnampangia mtu namna ya kuumia? Kama faraja yake ni kuandika jf anakua amekosea? Kila mtu ana namna yake ya kuyapokea maumivu
Huyu lazima anafuhia kimoyomoyo.Kwa wasiojua mtiririko wa stori za huyu jamaa wapite hapa Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!
Pia hapa kwa msaaada zaidi Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Sio maigizo. Hivi katika diunia hii kuna mtu ambae hajapitia maumivu ya msiba? Kila mtu anapitia maumivu yake kwa namna yakeWe ulishawahi kuumia? Au maumivu ya msiba unayajua? Acha maigizo
Ile wengi waliingia chaka hasa.....Ila MAGALLAH R kwa hadithi za uongo unazotaka kutuaminisha kuwa ni ukweli hujambo.. Mimi uliniingiza chaka maramoja tu ile story yako na yule mdada wa Mwanza .. Kumbe ulikuwa wewe mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mkuuNimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.
Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi juu ya haya matukio yanayonitokea kuhusu mama Agness maana yamefuatana sana.
Dunia dunia dunia ni sehemu mbaya sana kwangu.
Raha ya milele umpe ewe bwana.....
Pumzika kwa amani mama Agness.
Hivi umesoma vizuri alichoandika mtoa post? Ndo kwanza kapigiwa simu kwa maelezo yake ni muda mfupi kabla hajaandika, analaumu huu mwaka umemjia vibaya na dunia ni mbaya kwake. Inaonesha ni jinsi gaani huu ni msiba mkubwa kwake lakini huyu mtu kapata nguvu ya kutype huku JF inawezekana kabla hata hajamtaarifu Agnes kuhusu huo msiba.Sio maigizo. Hivi katika diunia hii kuna mtu ambae hajapitia maumivu ya msiba? Kila mtu anapitia maumivu yake kwa namna yake
Kwa kweli mfiwa mkuu ni yeye mwenyewe πππPole sana sasa
Inabidi uwazike wewe mtu wao wa karibu kwa upendo.
Huyu jamaa atakuwa amewafanyia ushirikina hawa watu! Kwenye thread yake moja alisema anatamani kuwafanyia tukio baya kabisa hawa watu! Najaribu ku-connect dots!Kwa wasiojua mtiririko wa stori za huyu jamaa wapite hapa Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!
Pia hapa kwa msaaada zaidi Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Mungu ahimidiweApumzike kwa amani.. juzi nilipata ajali... Nastuka hospitali kila kitu nnacho kasoro fedha 270,000. Kikubwa uhai. Apumzike kwa amani
Liongo sana hili jamaa. Sasa hapa linataka kutuaminisha eti Mungu kalilipizia kisasi kwa kuachwa na mke na akaenda kuolewa na mwanaume mwingine!Ila MAGALLAH R kwa hadithi za uongo unazotaka kutuaminisha kuwa ni ukweli hujambo.. Mimi uliniingiza chaka maramoja tu ile story yako na yule mdada wa Mwanza .. Kumbe ulikuwa wewe mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usafiri wa kukufikisha hapo sisi Wasamaria wema tulijilipa hiyo hela.Apumzike kwa amani.. juzi nilipata ajali... Nastuka hospitali kila kitu nnacho kasoro fedha 270,000. Kikubwa uhai. Apumzike kwa amani