Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Daaah jamani mama Agness R.I.P ulimtesa sana Magallah R
 
POLE SANI KIONGOZI. R.I.P MAMA AGNES
 
Hao ndio wapenzi wa kweli we ulikua unaforce kua naye si umeona ameondoka na bwana ake wamekuacha unang'aa sharubu
 
pole sana mkuu bt nilichogundua thamani ya x iliendelea kubaki kichwani baada ya kuachana.
 
Pole mkuu kwa kumpoteza aliye Kuwa mke mwema kwako.
 
Bro Mimi sio mnafki Ila hisia zangu zinaniambia ulienda kwa sangoma baada ya mama Agnes's kuja karibu na ww
 
We jamaa inaonekana unapenda sana attention.
 

Spinning At Work.

-Tozo
-Mbowe sio Gaidi.
-Sabaya ni Jambazi.
 
Itakua umefanya kile kitu ulicho ahidi.
Shangilia tu mkuu
 
Duh! Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu naona makasiriko yako jinsi alivyokutenda yalikuwa makubwa sana. Pamoja na kuandika talaka lakini uliangusha machozi kwa kuwa ulikuwa bado unampenda sana mkeo na uliwaonea huruma watoto wenu wanne ambao ulisema bado wadogo. Pole sana Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…