TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Huo ndio ukweli mkuu maana mtu atafanya ubaya woote anao weza lakini ikifika hukumu ya maulana hakuna baunsa wala mpambe atakaye weza kukutetea
Dah aiseee, nashindwaga kuelewa hawa wezi wa mali za umma.

Mtu una miaka sitini na ushee halafu unachota mabilioni ya walala hoi huku maisha yako hayafiki hata miaka 30 mbele, halafu mbaya zaidi unaishia kutumbua tu na vimwana mjini.

Laana nyingine huwa ni za kujitakia aisee, kaacha laana kubwa sana kwa watoto wake[/QUOTE]
Maneno ya mkosaji hayo,subiri nafasi ikuangukie hakafu uongee hayo.
 
Je haujui kuwa siku ya mwisho kuna watakao kutwa wapo hai?
Soma maandiko uelewe, hakuna asiyeweza kukwepa kufa. Ili uhukumiwe ni lazima ufe kwanza. Kisha wote tutafufuliwa siku hiyo itakapofika
 
Hivi Ile kesi yake ya ufisadi wa bot iliishia wapi? Anyway RIP mzee liyumba aka mzee wa magari mekundu.
 
mwenyezi Mungu amuweke mahala panapostahili kutokana na matendo yake
 
Eti finally wakat mwenyewe nawe unakwenda
Najua ila Kitendo cha huyu Jaamaa kulala na mtoto WA kumzaa ilhali a anajijua ana matatizo ya kiufundi..... Alipaswa afe papo Kwa hapo[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Reactions: Lee
Huyu. Alikuwa mgonjwa..... Anyamazishwe Kwa lipi?!
 
Hivi Ile kesi yake ya ufisadi wa bot iliishia wapi? Anyway RIP mzee liyumba aka mzee wa magari mekundu.
Alitumikia miaka2 jela... Na akiwa amebakiza siku kadhaa atoke akadakwa na simu bahati nzuri hakuongezewa kifungo
 
Reactions: Lee
Its all over! Kaacha yote ya hii dunia na kinachoendelea ni amali zake tu, dah nikifikiria hapo sina hamu ya kuwa tajiri
 
Maskini Binti yake yupo Lupango Lindi, magereza wamsaidie asije naye aka RIP
 
Dah! Watakukumbuka sana wadada wa mjini na zile Rav 4 nyekundu ulizokuwa ukiwapa kama njugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…